-
Iran yakosoa taarifa ya G7, yasisitiza italinda usalama wake kwa nguvu zote
Jun 16, 2024 09:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kufanya hima kuhakikisha kuwa usalama endelevu unazidi kuwepo katika eneo la Asia Magharibi.
-
Walinzi wa mpaka wa Iran wazima njama za shambulio la kigaidi kabla ya uchaguzi wa rais wa mapema
Jun 15, 2024 23:30Kamanda wa polisi wa mpakani wa Iran anasema kuwa, vikosi vyake vimetibua njama ya kigaidi kabla ya uchaguzi wa rais wa Juni 28, na kuwalazimisha magaidi hao waliopanga kufanya mashambulio ndani ya Iran kuikimbia nchi na kuacha nyuma silaha zao.
-
Ayatullah Khamenei: Fanyeni hima ili ushiriki katika uchaguzi uongezeke
Jun 15, 2024 08:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ameashiria umuhimu mkubwa wa uchaguzi na kubainisha juu ya udharura wa kufanyika juhudi za kuwafanya watu washiriki kwa wiingi katika uchaguzi.
-
Ayatullah Khamenei: Tangazo la kujibari na washirikina ni kubwa zaidi mwaka huu
Jun 15, 2024 08:01Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria jinai zinazofanywa na utawala katili na unaoelekea kusambaratika wa Israel huko Gaza na kusema: Suala la kujibari na kutangaza hasira dhidi ya washirikina ni kubwa zaidi mwaka huu kuliko huko nyuma.
-
Uchaguzi wa rais Iran: Qalibaf aongoza katika utafiti wa maoni
Jun 14, 2024 06:52Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Baqer Qalibaf anaongoza katika utafiti wa maoni, kuelekea uchaguzi wa mapema wa rais unaotazamiwa kufanyika Juni 28.
-
Iran yaonya kuhusu chokochoko yoyote tarajiwa ya Israel katika mipaka ya Lebanon
Jun 14, 2024 04:03Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameuonya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya chokochoko yake yoyote tarajiwa katika mipaka ya Lebanon.
-
Uhusiano wa Iran na Qatar unaendelea kuimarika katika nyanja zote
Jun 13, 2024 22:43Safari ya Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Qatar na kukutana kwake na Amir wa nchi hiyo kumefanyika katika mazingira ya kirafiki jambo linaloonyesha kuwa uhusiano wa Doha na Tehran unazidi kukua na kuimarika katika nyanja zote.
-
Iran: Mataifa ya Kiislamu yanapaswa kutumia suhula zote ili kusitisha jinai za Wazayuni Gaza
Jun 13, 2024 08:37Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran haitawaruhusu wavamizi wa Kizayuni kudhoofisha uthabiti na usalama wa eneo hata kwa chembe moja.
-
Sisitizo la Iran la nchi za Kiislamu kuchukua msimamo imara kwa ajili ya kusimamisha jinai za Israel
Jun 13, 2024 04:43Ali Bagheri Kani, Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran, amesisitiza nchi za Kiislamu kuchukua hatua ya kivitendo kwa ajili ya kukomesha jinai za Wazayuni huko Katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Jalili: Sera ya mashinikizo ya juu ya US ilifeli katika urais wa Shahidi Raisi
Jun 12, 2024 23:36Mgombea wa uchaguzi wa rais nchini Iran amesema marehemu Shahidi Rais Ebrahim Raisi alifanikiwa kusambaratisha sera ya mashinikizo ya juu zaidi ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.