-
Kipaumbele cha Iran ni usitishaji vita huko Gaza, utawala wa Israel utatiwa adabu
Aug 10, 2024 07:06Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu katika Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa, haki ya kujilinda kuhusiana na mauaji ya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas mjini Tehran haina uhusiano wowote na usitishaji vita huko Gaza na kusema kuwa, usitishaji vita katika eneo la Magharibi mwa Asia ni kipaumbele cha Iran.
-
Iran: Usitishaji vita Ghaza hauna uhusiano wowote na haki yetu ya kujibu mapigo kwa ugaidi wa Israel
Aug 09, 2024 23:59Ofisi ya uwakilishi wa kudumu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imesema, haki ya Jamhuri ya Kiislamu ya kulipiza kisasi dhidi ya ugaidi wa Israel ndani ya Iran haina uhusiano wowote na mazungumzo ya kusitisha mapigano yanayoendelea katika Ukanda wa Ghaza.
-
Kan'ani: Kama serikali za Kiislamu zingeiunga mkono Palestina kivitendo, watu wa Gaza wasingechinjwa
Aug 09, 2024 23:04Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa kuzembea kwa (baadhi) serikali za Kiislamu katika kuitetea Palestina na kusisitiza kuwa, lau serikali za Kiislamu zingeiunga mkono kivitendo Palestina, watu wa Gaza wasingechinjwa namna hii
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Utawala wa Kizayuni ujue kwamba tutalipiza kisasi cha damu ya Shahidi Ismail Haniya
Aug 09, 2024 08:32Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesisitiza ulazima wa kulipiza kisasi cha damu ya Shahidi Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina, HAMAS.
-
Iran: Israel imetengwa zaidi kisiasa duniani baada ya kumuua kigaidi Haniyah
Aug 09, 2024 03:50Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, kulaaniwa Israel kote duniani kwa mauaji ya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), Ismail Haniyah kumezidisha kutengwa kisiasa kwa utawala huo wa Kizayuni.
-
Kani: Iran haina mipaka katika kuimarisha uhusiano na Afrika
Aug 09, 2024 03:49Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu haina kikomo wala mipaka katika kuimarisha na kupanua uhusiano wake na nchi za bara Afrika.
-
Iran: Kuchaguliwa al Sinwar kunadhihirisha matumaini, umoja na nguvu ndani ya Hamas
Aug 08, 2024 23:18Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa kuchaguliwa Yahya al Sinwar kuwa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kunaonyesha umoja na uwezo wa harakati hiyo ya muqawama mkabala wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Muhammad Eslami: Sera za milango wazi zipo katika ajenda ya kazi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Aug 08, 2024 23:17Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa nchi za Magharibi zinaituhumu Iran kuwa inaficha sekta yake ya nyuklia, ilhali Tehran inatekeleza sera za milango wazi katika ajenda yake.
-
Iran: Utawala wa Kizayuni utaweza kudhibitiwa tu kwa kuchukuliwa hatua kali dhidi yake
Aug 08, 2024 07:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni mtenda jinai utaweza kudhibitiwa iwapo tu kutachukuliwa hatua kali dhidi yake na kulazimishwa kwa nguvu kuheshimu sheria za kimataifa.
-
Ofisi ya Kudumu ya I.R.Iran UN: Iran itaifanya Israel ijutie uchokozi wa kigaidi iliofanya
Aug 08, 2024 03:35Ofisi ya Uwakilishi wa Kudumu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imesema Tehran itaufanya utawala wa Kizayuni wa Israel ujutie kitendo cha uchokozi wa kigaidi uliofanya hivi karibuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu uliopelekea kuuawa shahidi kiongozi mkuu wa Hamas, Ismail Haniya.