-
Msimamo wa pamoja wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na Rais Masoud Pezeshkian kuhusu uungaji mkono kwa taifa la Palestina
Jul 31, 2024 22:56Ayatullah Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na Daktari Masoud Pezeshkian, Rais mpya wa Iran siku ya Jumanne katika vikao vyao na marehemu Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas na Ziad al-Nakhaleh, Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina walisisitiza kwamba suala la kuiunga mkono Palestina ni msimamo imara na wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Huyu ndiye Ismail Haniyeh, Kiongozi Mkuu wa Kisiasa wa HAMAS aliyeuawa shahidi Tehran
Jul 31, 2024 08:31Jumanne usku ya tarehe 30 Julai 2024, Ismail Haniyeh Kiongozi wa Tawi la Kisiasa la Harakati ya HAMAS ameuawa shahidi akiwa na mlinzi wake mmoja hapa Tehran. Ufuatao hapa chini ni wasifu kwa muhtasari wa maisha yake.
-
IRGC: Israel isubiri jibu kali la kuumiza kwa kumuua kigaidi Haniyah
Jul 31, 2024 07:27Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka ujiandae kwa matokeo mabaya na majibu makali ya kuumiza kwa kumuua kigaidi Ismail Haniyah, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS).
-
Kiongozi Muadhamu: Utawala wa Kizayuni umejiandalia uwanja wa kuadhibiwa vikali
Jul 31, 2024 07:15Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe maalumu baada ya kuuawa shahidi Mkuu wa Tawi la Kisiasa la HAMAS akisisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umejiandalia uwanja wa kuadhibiwa vikali.
-
Rais Pezeshkian: Iran itawafanya wavamizi magaidi kujutia kitendo chao cha uoga
Jul 31, 2024 04:43Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran itawafanya wavamizi wa magaidi kujutia kitendo chao cha uoga.
-
Iran: Damu ya shahidi Ismail Haniya haitapotea bure
Jul 31, 2024 03:57Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ametoa mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Ismail Haniya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) na kueleza kwamba, hapana shaka kuwa, damu ya mujahidi huyo haitapotea bure.
-
Ismail Haniyeh ameuawa shahidi katika hujuma ya kigaidi mjini Tehran
Jul 31, 2024 00:23Idara ya Uhusiano wa Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imetangaza kuwa mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) Ismail Haniyeh na mmoja wa walinzi wake wameuawa shahidi baada ya kushambuliwa makazi yao mjini Tehran.
-
Ayatullah Khamenei: Kipaumbele muhimu ni utekelezaji wa makubaliano kati ya Iran na Iraq
Jul 31, 2024 00:06Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika mazungumzo yake na Waziri Mkuu wa Iraq kwamba utekelezwaji wa mapatano baina ya nchi hizo mbili ndio kipaumbele muhimu zaidi.
-
Bagheri: Tuna matarajio ya kufungua upeo mpya katika uhusiano wa Iran na Sudan
Jul 30, 2024 23:30Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kufunguliwa tena balozi za nchi mbili za Iran na Sudan ni kielelezo cha azma kubwa ya viongozi wa pande mbili ya kuanzisha njia sahihi katika mchakato wa kustawisha uhusiano.
-
Pezeshkian amekula kiapo mbele ya Bunge kama rais wa 9 wa Iran
Jul 30, 2024 11:39Daktari Masoud Pezeshkian leo alasiri amekula kiapo kama rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mbele ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge), na viongozi kutoka nchi zaidi ya 88 waliohudhuria sherehe za kuapishwa kwake.