-
Iran na Afrika Kusini zatilia mkazo kuimarishwa uhusiano wa pande zote
Jul 30, 2024 08:22Rais wa jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza umuhimu wa kuimarishwa uhusiano kati ya Iran na Afrika Kusini katika nyuga za pande mbili na pia ushirikiano wa kimataifa ukiwemo ule wa BRICS, na kusema: "Kwa kuzingatia uwezo uliopo, ninatumai kuwa uhusiano wa kiuchumi na ushirikiano wa kibiashara kati ya pande hizo mbili utaimarika zaidi na zaidi.
-
Kharazi: Madai ya Israel ya kuhusisha tukio la Golan na Hizbullah ni njama na kichekesho
Jul 30, 2024 08:21Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Mahusiano ya Kigeni la Iran ameyataja madai taliyotolewa na Israel ya kulihusisha tukio la Golan inayokaliwa kwa mabavu na Hizbullah kuwa ni kichekesho.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Leo hii, bendera ya juu kabisa ya Uislamu iko mikononi mwa watu wa Gaza
Jul 30, 2024 08:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza ushujaa wa wananchi wanaodhulumiwa na wenye nguvu wa Ghaza na kusema: Leo bendera ya juu kabisa ya Uislamu iko mikononi mwa watu wa Ukanda wa Gaza.
-
Iran yatangaza kurejesha uhusiano wa kidiplomasia na Gambia
Jul 30, 2024 04:28Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jamhuri ya Gambia zimerejesha uhusiano wao wa kidiplomasia baada ya kusimama kwa takriban miaka 14.
-
Ujumbe wa pongezi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa Rais Masoud Pezeshkian
Jul 30, 2024 04:24Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres katika ujumbe wake wa kupongeza kuchaguliwa Rais Masoud Pezeshkian kuwa rais mpya wa Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran ametangaza utayarifu wa shirika hilo la kimataifa kwa ajili ya kushirikiana na serikali mpya ya Iran.
-
Hafla ya kuapishwa Rais wa Iran kufanyika leo
Jul 30, 2024 04:10Hafla ya kuapishwa Rais mpya wa Iran inafanyika leo katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge).
-
Rais mpya wa Iran: Sera za Iran katika kuitetea Palestina haziwezi kubadilika
Jul 30, 2024 04:07Rais mpya wa Iran amesema alipoonana na kuzunguzma na Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina kuwa misimamo na sera za mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuwaunga mkono waliodhulumiwa wakiwemo wananchi wa Palestina haziwezi kubadilika.
-
Rais Pezeshkian aonya: Matokeo hasi 'mazito' yanaingojea Israel ikijaribu kuishambulia Lebanon
Jul 29, 2024 23:47Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa matokeo hasi 'mazito' utayapata utawala wa Kizayuni wa Israel ikiwa utafanya kosa kubwa la kushambulia kijeshi Lebanon.
-
Iran yaionya Israel dhidi ya 'chokochoko mpya' kuhusu Lebanon
Jul 29, 2024 22:57Nasser Kan'ani, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametahadharisha dhidi ya chokochoko mpya za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Lebanon kwa kisingizio cha tukio la Majdal Shams katika eneo linalokaliwa kwa mabavu na utawala huo la Golan nchini Syria.
-
Matarajio ya Kiongozi Muadhamu kuhusu sera ya kigeni katika Serikali ya Awamu ya 14
Jul 29, 2024 11:52Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ameelezea matarajio yake katika uga wa sera za kigeni katika sherehe ya kuidhinishwa rais mpya Masoud Pezeshkian iliyofanyika jana Jumapili tarehe 28 Julai mjini Tehran.