-
Mgombea wa urais Iran: Waislamu tuungane kuitetea Gaza
Jun 12, 2024 07:44Mmoja wa wagombea wa urais nchini Iran ametoa mwito kwa Waislamu kuwa na umoja na mshikamano katika kulitetea taifa madhulumu la Palestina, hasa wakazi wa Ukanda wa Gaza wanaokabiliwa na mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel tokea Oktoba mwaka jana 2023.
-
Bagheri Kani: Ushirikiano wa Iran na Saudia ni dhamana ya utulivu na usalama Asia Magharibi
Jun 12, 2024 03:57Ali Bagheri Kani, Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ushirikiano wa Iran na Saudi Arabia unadhamini utulivu na usalama wa eneo laAsia Magharibi.
-
Wairani walioko nje ya nchi kupiga kura uchaguzi wa rais katika vituo 250 duniani kote
Jun 11, 2024 23:03Raia wa Iran wanaoishi nje ya nchi wanaweza kupiga kura zao katika uchaguzi ujao wa rais katika vituo 250 vya kupigia kura duniani kote.
-
Wagombea urais wa Iran wawasilisha mipango huku kampeni za televisheni zikianza
Jun 11, 2024 08:48Wagombea urais nchini Iran wameanza kubainisha mipango yao kuhusu ustawi wa nchi huku kampeni za uchaguzi zikianza kushika kasi.
-
Kikao cha kimataifa cha muongo mmoja wa barua za Kiongozi Muadhamu kwa vijana wa Marekani na Ulaya
Jun 11, 2024 08:40Kikao cha kimataifa cha muongo mmoja wa hotuba na barua za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Marekani na Ulaya, kinachofungua kurasa za historia kutoka Mashariki hadi Magharibi kitafanyika kesho katika Chuo Kikuu cha Tehran.
-
Iran yataka jamii ya kimataifa kuishinikiza Israel kuheshimu maamuzi ya ICJ
Jun 11, 2024 08:40Iran imeutaka Umoja wa Mataifa kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel ili utii amri zilizotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya vita vya mauaji ya kimbari vya utawala huo kwenye Ukanda wa Gaza.
-
Tehran yalaani taarifa ya chuki dhidi ya Iran iliyotolewa na marais wa Marekani na Ufaransa
Jun 11, 2024 03:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, amesema kuwa, yaliyomo katika taarifa ya chuki dhidi ya Iran iliyotolewa na marais wa Marekani na Ufaransa hayana msingi wowote bali yana malengo na misukumo ya kisiasa na ni mwendelezo wa siasa zilizoshindwa tangu zamani.
-
Majina ya mwisho ya wagombea uchaguzi wa rais nchini Iran yatangazwa kwa ajili ya kufanyika uchaguzi wa hamasa
Jun 10, 2024 08:51Wizara ya Mambo ya Ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza orodha ya majina ya mwisho ya wagombea wa awamu ya 14 ya uchaguzi wa rais ili kutoa fursa ya kufanyika uchaguzi wa hamasa na wenye ushiriki mkubwa wa wananchi.
-
Kampeni za uchaguzi wa rais wa kabla ya wakati wake zaanza rasmi nchini Iran
Jun 10, 2024 07:39Siku ya kwanza ya kampeni za uchaguzi wa kabla ya wakati wake zimeanza leo rasmi hapa nchini Iran kwa wagombea kupewa muda sawa wa kutangaza sera zao katika kanali mbalimbali za redio na televisheni ya taifa.
-
Iran: Marekani na Israel lazima ziwajibishwe kwa mauaji ya kimbari ya Ghaza
Jun 10, 2024 04:37Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel zimeshindwa katika vita vyao dhidi ya Ukanda wa Ghaza uliozingirwa na lazima ziwajibishwe kwa mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Palestina.