-
Iran yaikataa taarifa 'isiyokubalika' ya Arab League kuhusu visiwa vyake vitatu vilivyoko Ghuba ya Uajemi
May 17, 2024 04:49Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetupilia mbali kauli "isiyo na msingi" na "isiyokubalika" iliyotolewa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na visiwa vitatu vya Abu Musa na Tunb Kubwa na Ndogo vilivyoko katika Ghuba ya Uajemi na kusisitiza kuwa visiwa hivyo vitabaki kuwa milki ya Iran.
-
Mafanikio ya uvumbuzi wa wanawake wa Iran katika nyanja mbalimbali
May 17, 2024 03:39Ingawa bado kuna pengo kubwa kati ya wavumbuzi wanawake na wanaume duniani lakini viashiria vilivyopo vinaonyesha kuwa juhudi zinazofanywa na wanawake wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya kuziba pengo hilo zinaendelea kwa kasi kubwa.
-
Watu 7 wafariki dunia katika janga la mafuriko Mash'had, Iran
May 16, 2024 08:51Mvua kubwa iliyonyesha Mashhad, jiji la pili kwa idadi kubwa ya watu nchini Irani, imesababisha vifo vya watu saba na 12 kutoweka.
-
UK, Ufaransa na Ujerumani zaonywa kwa kutuma ndege kuilinda Israel katika Operesheni ya Ahadi ya Kweli
May 16, 2024 03:55Brigedia Jenerali Esmail Qa’ani, Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametoa onyo kwa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa baada ya nchi hizo tatu za Troika ya Ulaya kupeleka ndege zao za kivita kuulinda utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya operesheni ya kulipiza kisasi ya Ahadi ya Kweli iliyofanywa na Iran mwezi uliopita wa Aprili.
-
Ebrahim Raisi: Palestina leo ni suala la kwanza na la pamojakwa nchi zote za Kiislamu
May 16, 2024 00:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema adui leo anataka kuongoza maoni ya umma ya mataifa juu ya suala la Gaza, kwa himaya ya vyombo vya habari, habari za uongo, simulizi zisizo za kweli, na upotoshaji wa ukweli, akisisitiza umuhimu wa nafasi na wajibu wa waandishi na wana utamaduni katika kukabiliana na njama hii.
-
Sera za Iran kuhusu nishati ya nyuklia hazijabadilika
May 15, 2024 07:21Nasser Kanani, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran alitangaza Jumatatu 13 Mei kwamba, sera za nyuklia za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hazijabadilika.
-
Iran yalaani mwito wa Seneta wa Marekani wa kutaka Israel idondoshe mabomu ya nyuklia Gaza
May 15, 2024 00:59Iran imelaani pendekezo la "kutisha" la seneta wa chama cha Republican nchini Marekani kwamba Israel inapaswa kutumia mabomu ya nyuklia huko Gaza.
-
"Mauaji ya watoto 15,000 wa Gaza yanaashiria mwisho wa Israel"
May 14, 2024 23:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hakuna shaka kuwa mauaji ya watoto zaidi ya 15,000 wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza itakuwa chachu ya kuharakisha mchakato wa kuporomoka na kusambaratika utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran: Haki za binadamu za Marekani na Israel ni pande mbili za sarafu moja
May 14, 2024 23:07Ali Kanani Chafi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema haki za binadamu za Marekani na Israel ni pande mbili za sarafu moja kwani zote zinakiuka pakubwa haki za binadamu dhidi ya mateka na wafungwa, moja huko Negev na nyingine huko Guantanamo na Abu Ghraib.
-
Iran: Israel ni nembo ya ugaidi ulioratibiwa duniani
May 14, 2024 08:27Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeutaja utawala wa Kizayuni wa Israel kama nembo kuu ya ugaidi ulioratibiwa duniani.