-
Iran na Oman zasisitizia udharura wa kukomeshwa mara moja jinai za Israel Ghaza
Mar 25, 2024 02:43Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman wamefanya mazungumzo ya simu na kutilia mkazo wajibu wa kuchukuliwa hatua za haraka na jamii ya kimataifa za kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi madhlumu na wasio na ulinzi wa Palestina hasa wa Ukanda wa Ghaza.
-
Wairani waandamana kulaani jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza
Mar 24, 2024 23:21Wananchi wa Iran wamefanya maandamano makubwa katika sehemu mbalimbali za nchi ukiwemo mji mkuu Tehran, kutangaza mshikamano na wananchi madhulumu wa Palestina wanaoendelea kuuawa, sambamba na kulaani jinai za kutisha zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Ndege ya kivita isiyo na rubani ya Iran ijulikanayo kama 'Gaza' yavuma kimataifa
Mar 24, 2024 08:00Iran imeanza kusambaza bidhaa zake za kijeshi na ulinzi kimataifa, huku gazeti moja la Marekani likisema kuwa sekta ya ulinzi ya Iran imeingia rasmi katika soko la kimataifa kwa kushiriki katika Maonyesho ya Kimataifa ya Silaha ya Doha nchini Qatar ambapo imeonyesha ndege ya kisasa ya kivita isiyo na rubani iliyopewa jina la 'Gaza'.
-
Iran: Tuko pamoja na Russia baada ya shambulio la kigaidi la Moscow
Mar 23, 2024 23:22Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua kali za kuwaadhibu magaidi waliohusika na shambulio la kigaidi kwenye jumba moja la starehe katika viunga vya Moscow, mji mkuu wa Russia.
-
"Mauaji ya kimbara Gaza yamefichua dhati na unafiki wa Wamagharibi"
Mar 23, 2024 04:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mauaji ya kimbari yanayoshuhudiwa katika Ukanda wa Gaza yameweka bayana kuwa nchi za Magharibi zinatumia suala la 'haki za binadamu' kama wenzo wa kisiasa tu.
-
Msemaji wa AEOI: Iran inahitaji vituo 20 vya nyuklia
Mar 23, 2024 04:15Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema Jamhuri ya Kiislamu inapasa kuwa na vituo kati ya 15 na 20 vya nyuklia ili kujidhaminia mahitaji yake ya nishati.
-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi lililoua makumi ya watu nchini Russia
Mar 22, 2024 23:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi lililoua na kujeruhi makumi ya watu katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
-
Hujjatul-Islam Ali Akbari: Maadui wasubiri operesheni zijazo za Kimbunga cha al-Aqsa
Mar 22, 2024 08:16Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo hapa mjini Tehran amesema maadui wa Palestina wanapasa kusubiri operesheni ya pili, ya tatu na hata ya nne ya Kimbunga cha al-Aqsa kutoka kwa makundi ya muqawama.
-
Uchambuzi wa vita vya Gaza katika hotuba ya Nowruz ya kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Mar 22, 2024 03:34Katika hotuba yake ya siku ya kwanza ya mwaka mpya wa 1403 Hijria Shamsia, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei, amesema suala la Palestina na Gaza ni suala la daraja ya kwanza la kimataifa na kusisitiza kuwa: Kadhia ya Gaza imeonesha jinsi ulimwengu eti uliostaarabika na unaodai kutetea haki za binadamu, unavyofanya dhulma kubwa dhidi ya watu wa Gaza.
-
Amir Abdollahian: Netanyahu amefika mwisho wa mstari
Mar 22, 2024 03:26Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Benyamin Netayahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amefikia mwisho wa barabara.