-
Kukuza uhusiano na nchi za Afrika, moja ya mihimili ya sera za kigeni za Iran
Jan 28, 2024 01:05Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja msingi wa uhusiano wa Tehran na nchi za Kiafrika kuwa ni mungamano wa kiroho baina ya mataifa hayo na kwamba uhusiano huo ni moja ya mihimili mikuu ya siasa za nje za Iran.
-
Kan'ani: Msingi wa Israel umejengwa kwa kutegemea mabavu na ubaguzi
Jan 27, 2024 08:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa jibu la kiuhasama lililotolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel mkabala wa hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) linaonyesha namna msingi wa utawala huo ulivyojengwa kwa kutegemea vitendo vya mabavu na ubaguzi; na wakati huo huo unadhihirisha namna utawala huo usivyoheshimu kanuni na sheria za kimataifa.
-
Iran yaipongeza Afrika Kusini kwa ushindi wake katika mahakama ya ICJ dhidi ya Israel
Jan 27, 2024 03:01Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza mafanikio ya kidiplomasia ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu na kuwataka mawaziri wenzake wa mashauri ya kigeni duniani kuunga mkono hatua hiyo ya Afrika Kusini.
-
Mabalozi wa Iran na Pakistan warejea katika vituo vyao vya kazi
Jan 26, 2024 23:05Mabalozi wa Iran na Pakistan ambao walikuwa wamerejea makwao baada ya mzozo ulioibuka hivi karibuni baina ya mataifa haya mawili, hatimaye jana walirejea katika vituo vyao vya kazi.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Utawala haramu wa Israel umeshindwa kufikia malengo yake Gaza
Jan 26, 2024 08:41Imamu wa muda wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema: Utawala wa Kizayuni umeshindwa katika Ukanda wa Gaza na kwamba, haujafikia lengo lolote kati ya malengo yake.
-
Raisi: Uamuzi wa Afrika Kusini wa kuishtaki Israel unasifiwa na wapigania uhuru
Jan 26, 2024 07:42Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza yanapongezwa na kusifiwa na watu wote wanaopigania uhuru na ukombozi.
-
Iran yasisitiza kuwa utawala wa Kizayuni lazima usitishe mauaji ya kimbari Gaza
Jan 26, 2024 04:32Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameisitiza juu ya kusitishwa mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Raisi: Msingi wa uhusiano wa Iran na Afrika ni maslahi ya pamoja
Jan 25, 2024 07:43Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa Iran na Mali pamoja na nchi nyingine za Afrika si wa kisiasa na kidiplomasia tu, bali umejengeka katika msingi wa maslahi ya pande mbili na pande kadhaa.
-
Makubaliano ya Iran na Uturuki ya kuinua kiwango cha mabadilishano ya kibiashara baina yao
Jan 25, 2024 07:53Iran na Uturuki zimetoa taarifa ya pamoja mwishoni mwa safari ya Rais Ebrahim Raisi wa Iran nchini Uturuki na kusisitiza azma ya nchi hizo ya kuinua kiwango cha ushirikiano wa kisiasa, kiuchumi, kibiashara na kiutamaduni.
-
Marais wa Iran na Uturuki wasaini hati 10 za ushirikiano
Jan 25, 2024 03:36Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki zimetia saini hati 10 za ushirikiano kwa lengo la kuzidisha uwekezaji, ushirikiano wa kiuchumi na masuala ya kieneo.