-
Mokhber: Kukuza uhusiano na nchi za Kiafrika ni mkakati mkuu wa Serikali ya Iran
Jan 24, 2024 23:58Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba stratijia kuu ya Serikali ya Iran ni kuendeleza uhusiano katika nyanja zote za kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni na nchi za Kiafrika.
-
Amir Abdollahian: Lengo la jeshi la Yemen ni kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel
Jan 24, 2024 07:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao chake na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuwa: Lengo la jeshi la Yemen katika kusimamisha meli zinazoelekea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) ni kusimamisha jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza.
-
Iran yailaani Marekani kwa kuizuia UN kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel
Jan 24, 2024 03:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian ameilaani Marekani kwa kuuzuia Umoja wa Mataifa kutekeleza wajibu wake wa kushinikiza kusitishwa vita vya mauaji ya halaiki yanayoendelea kufanywa na utawala wa Israel dhidi ya wananchi wa Ghaza.
-
Amir Abdollahian: Iran imetoa ujumbe na onyo zito kwa Wamarekani
Jan 24, 2024 00:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa ujumbe na onyo zito kwa Wamarekani kwamba hatua yao ya pamoja na Waingereza katika Bahari Nyekundu dhidi ya Yemen ni kosa la kistratijia.
-
Gharadhi ya Pakistan na Iran ya kuimarisha ushirikiano
Jan 23, 2024 22:58Kuimarika kwa uhusiano wa Iran na Pakistan baada ya takribani saa 72 za mvutano kumeonyesha kwa mara nyingine tena kwamba, kuna dhamira kubwa ya pande zote mbili ya kudumisha uhusiano thabiti wa nchi hizi mbili jirani za Kiislamu.
-
Kiongozi Muadhamu: Kuna udharura wa kukatwa mishipa ya uhai ya utawala wa Kizayuni
Jan 23, 2024 10:01Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: Nchi za Kiislamu zinapaswa kukata uhusiano wao wa kisiasa na kiuchumi na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kukata mishipa muhimu ya uhai ya utawala huo ghasibu.
-
Jeshi la Iran lapokea idadi kubwa ya ndege za kivita zisizo na rubani
Jan 23, 2024 09:45Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limepokea idadi kubwa ya ndege za kivita zisizo na rubani zenye uwezo mkubwa wa vita vya kistratijia, upelelezi na pia baadhi zinaweza kutumika kama rada.
-
Amir-Abdollahian: Dhati ya kigaidi ya Israel imedhihirika kwa kuwaua washauri wa kijeshi wa Iran
Jan 23, 2024 03:54Kufuatia kuuawa shahidi washauri watano wa kijeshi wa Iran katika shambulio la kigaidi lililofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Syria, Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian amemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kueleza kwamba: hatua ya kigaidi ya Israel dhidi ya washauri wa kijeshi wa Iran imedhihirisha wazi dhati halisi ya kigaidi ya utawala huo.
-
Abdollahian: Uhusiano wa Iran na Algeria upo katika mazingira bora kabisa
Jan 23, 2024 00:52Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uhusiano wa taifa hili na Algeria upo katika kiwango bora kabisa.
-
Wairani wajitokeza kwa wingi kuwaaga mashahidi wa shambulizi la kigaidi la Israel
Jan 22, 2024 08:38Shughuli ya kuwaaga mashahidi wa shambulizi la kigaidi la Israel nchini Syria imefanyika hapa Tehran kwa kuhudhuriwa na viongozi wa ngazi ya juu, familia za mashahidi hao na umati mkubwa wa wananchi Waislamu wa Iran.