-
Ebrahim Raisi: Wanaodai kuwa wafuasi wa Nabii Issa (as) hawapaswi kuiunga mkono Israel na mauaji yake dhidi ya watoto
Dec 25, 2023 00:57Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuwa, wale wote wanaodai kwamba ni wafuasi wa Nabii Issa Masih (as) hawapaswi kuiunga mkono Israel na mauaji yake dhidi ya watoto huko katika Ukanda wa Gaza.
-
Mwakilishi wa Jihadul Islami: Iran ni muungaji mkono pekee wa wananchi wa Gaza na wanaodhulumiwa duniani
Dec 24, 2023 23:12Mwakilishi wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina nchini Iran amekosoa kimya cha nchi za Magharibi mkabala wa vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza na kusema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni muungaji mkono pekee wa wanaodhulumiwa duniani.
-
Amir-Abdollahian: Kuna haja ya kuimarishwa harakati za kidiplomasia ili kukabiliana na jinai za Wazayuni
Dec 25, 2023 03:41Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya kuimarishwa juhudi za kidiplomasia kwa shabaha ya kukabiliana na jinai za Wazayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Jeshi la Wanamaji la Iran lapokea makombora mapya ya cruise
Dec 24, 2023 08:32Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limepokea mfumo wa kimkakati wa makombora ya cruis wa Talayieh na mfumo wa makombora wa Nasir na hali kadhalika helikopta za kwanza za vita vya kieletroniki na kijasusi.
-
Mazungumzo ya kwanza ya simu baina ya Marais wa Iran na Misri; hatua ya kukuza uhusiano
Dec 24, 2023 04:44Jana Jumamosi, Sayyid Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alizungumza kwa simu na Rais Abdel Fattah El Sisi wa Misri, ikiwa ni mara ya kwanza kwa marais wa nchi hizi mbili kuzungumza kwa simu na ikiwa ni katika sehemu ya juhudi za kufufua uhusiano wa pande mbili.
-
Rais Ebrahim Raisi: Marekani na Israel zishtakiwe kwa kufanya mauaji ya kimbari Gaza
Dec 23, 2023 23:09Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria chimbuko la matukio ya hivi karibuni huko Palestina na kusema kuwa, Marekani na utawala wa Kizayuni zinapaswa kushtakiwa kwa kufanya mauaji ya kimbari huko Gaza.
-
Marais wa Iran na Misri wahimiza kustawishwa uhusino wa nchi mbili katika nyuga zote
Dec 23, 2023 23:08Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza kwa simu na rais mwenzake wa Misri na kutilia mkazo udharura wa kustawishwa uhusiano wa nchi hizi mbili katika nyuga tofauti.
-
Jibu na indhari ya Iran kwa msimamo wa Russia wa kuunga mkono madai ya Imarati
Dec 23, 2023 23:01Mkutano wa Sita wa Baraza la Ushirikiano la Nchi za Kiarabu na Russia ulifanyika tarehe 20 mwezi huu wa Disemba mwenyeji akiwa ni Nasser Burita Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco; na kwa mara nyingine tena katika taarifa ya mwisho ya mkutano huo Imarati ikatoa madai kuhusu visiwa vitatu vya Iran, yaliyoungwa mkono na Russia.
-
Kongamano la Kimataifa la Kuunga Mkono Palestina lafanyika Tehran
Dec 23, 2023 04:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Kongamano la Kimataifa la Kuunga Mkono Palestina linafanyika leo mjini Tehran kwa lengo la kuunga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi.
-
Kiongozi Muadhamu: Uchaguzi ndio msingi wa mageuzi na suluhisho la matatizo
Dec 23, 2023 08:29Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameutaja uchaguzi wa Machi 1, 2024 hapa nchini, kuwa muhimu sana, wenye maamuzi, suluhisho la matatizo na wenye kuandaa uwanja wa mageuzi.