-
Safari ya Mkuu wa Majeshi ya Iran nchini Iraq kwa lengo la kuimarisha ushirikiano wa kijeshi
Dec 04, 2023 07:03Meja Jenerali Mohammad Bagheri, Mkuu wa Majeshi ya Iran, amefanya safiri ya siku tatu nchini Iraq.
-
Kan'ani: Marekani inashiriki moja kwa moja kwenye jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza
Dec 04, 2023 08:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Marekani inashiriki moja kwa moja kwenye jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Ukanda wa Ghaza huko Palestina.
-
Iran na Malaysia kushirikiana katika uchapishaji wa Qur'ani Tukufu
Dec 03, 2023 23:30Mwambata wa Utamaduni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Malaysia amesema Jamhuri ya Kiislamu na Malaysia zitashirikiana katika uchapishaji wa nakala za kitabu kitakatifu cha Qur'ani.
-
Safari ya Rais wa Cuba mjini Tehran
Dec 03, 2023 23:29Rais wa Jamhuri ya Cuba ambaye anangoza ujumbe wa ngazi ya juu wa kisiasa na kiuchumi wa nchi yake amefanya safari mjini Tehran kwa mwaliko rasmi wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Raisi: Msingi wa uungaji mkono wa Iran kwa Palestina ni Katiba
Dec 03, 2023 09:03Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ndio msingi wa taifa hili kuiunga mkono Palestina na Ukanda wa Gaza ambao hivi sasa unakabiliwa na mashambulizi ya Wazayuni.
-
Rais Raisi: Utawala wa Kizayuni unaendeleza jinai Ghaza kwa uungaji mkono kamili wa Marekani
Dec 03, 2023 03:12Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni unapata uthubutu wa kuendeleza jinai za kuangamiza kizazi huko Ghaza kutokana na uungaji mkono kamili wa Marekani.
-
Kan'ani Chafi: Mashambulio mapya dhidi ya Gaza ni kashfa kubwa ya kimaadili kwa Marekani
Dec 02, 2023 23:45Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ameandika katika kujibu idhini ya Marekani kwa mashambulizi mapya yanayofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza kwamba, hii ni kashfa kubwa ya kimaadili kwa serikali ya Marekani na imeonyesha sura halisi ya haki za binadamu ya Washington kwa walimwengu.
-
Amir-Abdollahian: Uwepo wa dola la Kizayuni umeitia kwenye matatizo makubwa dunia
Dec 02, 2023 07:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni kwenye Ukanda wa Ghaza zimeiweka kwenye alama ya kuuliza itibari ya jamii ya kimataifa na madai ya kupigania haki za binadamu ulimwenguni.
-
Iran yakanusha taarifa ya upotoshaji ya E3 kuhusu mpango wake wa makombora
Dec 02, 2023 02:39Iran imekanusha ripoti ya upotoshaji na ya kisiasa ya Uingereza, Ufaransa, na Ujerumani kuhusu uzinduaji wa kombora la Fattah-2.
-
Iran yataka nchi za Kiislamu ziimarishe jitihada za kuzuia jinai za Israel huko Gaza
Dec 02, 2023 01:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema ni muhimu kwamba nchi zote za Kiislamu ziongeze juhudi zinazolenga kukomesha jinai za utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina.