-
Amir-Abdollahian: Oman ina ubunifu mzuri kuhusu kadhia ya nyuklia ya Iran
Apr 26, 2023 02:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, serikali ya Oman ina ubumifu mzuri kuhusu kadhia ya nyuklia ya Iran, ubunifu ambao utasaidia kurejea mazungumzo katika suala hilo.
-
Iran: Vita si njia ya kuutatua mgogoro wa Ukraine
Apr 25, 2023 22:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa ufafanuzi kuhusu msimamo wa kimsingi wa Tehran kuhusiana na mgogoro wa Ukraine na kusisitiza kwamba, vita kamwe haviwezi kuwa njia sahihi ya kutatua kadhia hiyo.
-
Iran yaalani shambulio katika kituo cha polisi wa kupambana na ugaidi huko Pakistan
Apr 25, 2023 03:22Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Pakistan umelaani shambulio la kigaidi lililotekelezwa kwenye kituo cha polisi katika mji wa Swat na umetoa pole kwa familia za wahanga wa hujuma hiyo ya kigaidi.
-
Kiwango cha mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Afrika kupundukia dola bilioni 2
Apr 24, 2023 10:44Mkurugenzi wa Idara ya Masuala ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametabiri kuwa kiwango cha mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Afrika kitafika zaidi ya dola bilioni mbili.
-
Iran kuzindua safari za ndege za kila wiki kwenda Saudi Arabia
Apr 24, 2023 03:36Iran ina mpango wa kuzindua safari za ndege za abiria kila wiki kwenda Saudi Arabia kufuatia ombi rasmi kutoka kwa wakuu wa Saudia huku kukiwa na uboreshaji wa uhusiano wa nchi hizi mbili jirani.
-
Iran na Iraq zasisitiza umuhimu wa kupanua zaidi ushirikiano baina yao
Apr 23, 2023 07:48Mataifa jirani ya Iran na Iraq yamesisitiza azma yaliyonayo ya kupanua na kustawisha zaidi ushirikiano baina yao katika nyanja mbalimbali.
-
Kanaani ajibu matamshi ya kijuba ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani dhidi ya Iran
Apr 23, 2023 03:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema matamshi ya uchochezi yaliyotolewa na waziri wa mambo ya nje wa Marekani kuhusiana na mpango wa kijeshi wa Iran yanalenga kuendeleza utafutaji soko la silaha za Marekani.
-
Iran na Imarati zatilia mkazo kustawisha ushirikiano baina yao
Apr 22, 2023 22:02Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) wamesisitiza umuhimu wa kupanua ushirikiano wa pande mbili katika nyanja mbalimbali.
-
Nasser Kanaani Chafi: Ukombozi wa Quds tukufu umekaribia
Apr 22, 2023 22:01Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ukombozi wa mji mtakatifu wa Quds umekaribia na kwamba, muda si mrefu eneo hilo takatifu litakombolewa na kuondoka katika udhibiti wa utawala ghasibu wa Israel.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Mkakati wa sasa wa Ulimwengu wa Kiislamu uwe ni kuwaimarisha wapambanaji ndani ya Palestina
Apr 22, 2023 09:06Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: mkakati wa sasa wa Ulimwengu wa Kiislamu inapasa uwe ni kuwasaidia na kuwaimarisha wapambanaji ndani ya Palestina.