-
Sisitizo la Iran na Qatar la kuimarisha uhusiano wa pande mbili na kuiunga mkono Palestina
Apr 22, 2023 05:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo ya simu na Amir wa Qatar kuwa kupanua na kuimarisha zaidi uhusiano na majirani ni kipaumbele cha sera za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu katika Sala ya Idul Fitr: Irada ilioimarika kitaifa itatatua matatizo
Apr 22, 2023 03:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika hotuba za Sala ya Idul Fitr amesisitiza kuwa, irada iliyoimarika kitaifa itatatua matatizo ya nchi.
-
Waislamu nchini Iran, duniani washerehekea Idul Fitr
Apr 22, 2023 02:44Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi nyingine nyingi kote duniani leo wanasherehekea siku kuu ya Idul Fitr kuashiria kumalizika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, baada ya kuandama mwezi mpya wa mwezi wa Shawwal jana Ijumaa jioni.
-
Rais wa Iran awatumia Waislamu salamu za pongezi kwa mnasaba wa Sikukuu ya Idul-Fitr
Apr 21, 2023 23:01Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za kheri na fanaka kwa Waislamu kwa mnasaba wa kuwadia siku kuu ya Idul Fitr ambayo ni siku ya kurejea katika Fitra na ni wakati wa fahari na furaha kwa waliofunga katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na waja wema wa Mwenyezi Mungu.
-
Sheikh Kazem Seddiqi: Marekani imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa Israel
Apr 21, 2023 08:13Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, licha ya Marekani kuwa na mfungamano wote na utawala haramu wa Israel lakini imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa utawala huo, na hilo ni ishara ya kutokuwa na uwezo.
-
Kura ya maoni; Misingi yake na jinsi inavyotumiwa vibaya
Apr 21, 2023 08:08Moja ya mada ambazo kwa kawaida huibuliwa na baadhi ya watu ndani ya nchi na vyombo vya habari vinavyoipinga Jamhuri ya Kiislamu nje ya nchi, wakati kunapoibuka matatizo katika nyanja za kisiasa na kiuchumi Iran, ni suala la kufanyika kura ya maoni.
-
Qatar na Iran zasisitiza uhusiano wa pande mbili na kuiunga mkono Palestina
Apr 21, 2023 07:47Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuimarisha zaidi uhusiano na majirani ni katikia sera za kigeni za Tehran zinazopewa kipaumbele.
-
Hafla kubwa kabisa ya Qur'ani ya Wanawake wa Ulimwengu wa Kiislamu yafanyika nchini Iran
Apr 20, 2023 22:10Hafla kubwa zaidi ya Qur'ani ya wanawake wa Ulimwengu wa Kiislamu iliyoandaliwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanyika mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na wake wa mabalozi na wanawake wanaharakati katika uga wa Qur'ani.
-
Meja Jenerali Mousavi: Uwezo wa droni za jeshi la Iran unaongezeka
Apr 20, 2023 08:45Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa ndege zisizo na rubani zina nafasi kubwa katika vita na kwamba kuwepo aina tofauti za ndege hizo hapa nchini kunaongeza uwezo wa kufanya maamuzi wa kamanda katika medani ya vita.
-
Uhuru katika hotuba ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Apr 20, 2023 07:12Kongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza umuhimu wa uhuru na kusema kuwa uhuru una vipengee tofauti na unapaswa kuelekeza kwenye utukufu wa binadamu.