-
Rais Raisi: Iran iko tayari kuzipatia nchi za Afrika teknolojia mpya
Mar 07, 2023 07:52Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran iko tayari kuzipatia nchi za Afrika elimu na teknolojia mpya ili kurahisisha ushiriki wa sekta binafsi katika uhusiano wa pande mbili.
-
Iran yasaini hati 20 za ushirikiano na nchi za Afrika Magharibi
Mar 07, 2023 04:16Maafisa wa ngazi za juu wa Iran wamesema kupanua uhusiano na nchi za Kiafrika ni moja ya sera kuu za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Marais Raisi na Putin wazungumzia uhusiano wa kiuchumi wa Iran na Russia
Mar 06, 2023 23:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ebrahim Raisi na mwenzake wa Russia, Vladimir Putin wamesisitizia umuhimu wa kuchukua hatua za kuimarisha zaidi uhusiano wa kiuchumi kati ya nchi mbili hizi.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Kadhia ya kupewa sumu wanafunzi ni uhalifu mkubwa
Mar 06, 2023 08:27Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, kadhia ya kupewa sumu wanafunzi hapa nchini ni uhalifu mkubwa na haiwezi kuachiwa.
-
Russia yakosoa mienendo mibaya ya Bodi ya Magavana ya IAEA dhidi ya Iran
Mar 05, 2023 23:00Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika mashirika ya kimataifa yenye makao makuu mjini Vienna amekosoa mienendo mibaya ya Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) dhidi ya Iran.
-
Faini ya dola bilioni 18 inaisubiri Pakistan
Mar 05, 2023 22:58Onyo lililotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba kama serikali ya Pakistan haitochukua msimamo ulio wazi kuhusu mkataba wa kununua gesi kutoka Iran, basi kuna hatari Islamabad ikalazimika kulipa faini ya dola bilioni 18. Inaonekana wazi kuwa, viongozi wa Pakistan wamelichukulia kwa uzito onyo hilo.
-
Kana'ani: Marekani iliunga mkono mfumo wa 'apartheid' Afrika Kusini
Mar 05, 2023 07:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Marekani haistahiki kujipiga kifua na kudai kuwa kinara wa kutetea na kulinda haki za binadamu duniani kutokana na rekodi yake nyeusi.
-
Kamalvandi: Iran na IAEA zimeafikiana kushirikiana zaidi
Mar 05, 2023 04:36Msemaji wa Shirika la Atomiki la Iran amesema mapatano ya hivi karibuni kati ya Tehran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki yaliyofikiwa wakati wa safari ya mkurugenzi mkuu wa wakala huo yanaenda sambamba na sheria ya kimkakati iliyopitishwa na Bunge la Iran.
-
Rais Raisi: Iran inatarajia IAEA itakuwa na muelekeo wa 'kitaaluma, usio wa kisiasa'
Mar 05, 2023 01:21Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ebrahim Raeisi anasema Tehran inatarajia Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) utachukua mtazamo wa "kitaalamu" kuhusu mpango wa Iran wa nishati ya nyuklia na kujiepusha kuathiriwa na baadhi ya madola ambayo yanafuatilia malengo yao mahususi.
-
Safari ya Grossi mjini Tehran katika kukaribia kikao cha Bodi ya Magavana ya IAEA
Mar 05, 2023 00:30Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) Ijumaa aliwasili hapa Tehran kwa minajili ya kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.