-
Mkuu wa IAEA: Shambulio lolote la kijeshi dhidi ya vituo vya nyuklia ni kinyume cha sheria
Mar 04, 2023 08:15Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) Rafael Grossi anasema shambulio lolote la kijeshi dhidi ya vituo vya nyuklia ni marufuku, akijibu vitisho vya Marekani na Israel vya kulenga vituo vya nyuklia nchini Iran.
-
Onyo la Iran dhidi ya tishio au makosa yoyote ya utawala wa Kizayuni
Mar 04, 2023 05:14Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameonya kwamba Iran itatoa jibu kali kwa tishio au makosa yoyote ya utawala wa Kizayuni wa Israel popote pale na wakati wowote.
-
"Wamagharibi wanalia machozi ya mamba kuwahadaa wanafunzi, wazazi wa Iran"
Mar 04, 2023 04:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amewakosoa maafisa wa nchi za Magharibi ambao wanaiahadaa dunia kwa kuonesha kuwa wameguswa na kutiwa wasiwasi na matukio ya wanafunzi wa kike wa Jamhuri ya Kiislamu kudaiwa kushambuliwa kwa gesi ya sumu wakiwa shuleni na kusisitiza kuwa, kilio hicho cha Wamagharibi ni sawa na machozi ya mamba.
-
Iran yauonya utawala wa Kizayuni kwa bwabwaja zake, yasema umekiuka sheria za kimataifa
Mar 03, 2023 23:26Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa, Amir Saeid Iravani, amesema bwabwaja za hivi karibuni za maafisa wa Israel ni ukiukaji wa sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
-
Ebrahim Raisi: Vita mseto vya adui vimefeli mbele ya taifa imara la Iran
Mar 03, 2023 07:26Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, maadui wamefeli katika vita vyao mseto dhidi ya wananchi wa Iran na kusisitiza kuwa, uimara na kutotetereka taifa iran kumevuruga njama zote za maadui.
-
Marekani yaendeleza uraibu wake wa vikwazo kwa kuiwekea Iran vikwazo vipya
Mar 03, 2023 04:15Marekani imeyawekea vikwazo makampuni na meli kadhaa katika kuendeleza muelekeo wake wa kiundumakuwili na sera yake ya mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran: Mlango wa kuhuisha JCPOA hautabaki wazi daima
Mar 02, 2023 23:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameionya Marekani kuwa, mlango wa mazungumzo ya kuhuisha makubaliano ya nyukia ya JCPOA hautabaki wazi milele, na kwa msingi huo ameiasa Washington kutumia fursa hiyo vizuri na kuyanusuru mapatano hayo.
-
Ebrahim Raisi: Iran ina hamu ya kulinda na kuimarisha mahusiano bora na ulimwengu yakiwemo mataifa ya Ulaya
Mar 02, 2023 09:11Rais Ebrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili lina hamu na shauku ya kulinda na kuimarisha mahusiano mazuri na dunia yakiwemo mataifa ya Ulaya.
-
Kufukuzwa wanadiplomasia wa Ujerumani: Hatua mkabala ya Tehran kukabiliana na Berlin
Mar 02, 2023 06:30Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa amri ya kufukuzwa wanadiplomasia wawili wa Ujerumani kutokana na kuingilia kwao masuala ya ndani ya nchi.
-
Umoja wa Mataifa wapongeza msamaha wa Kiongozi Muadhamu kwa wafungwa waliokamatwa wakati wa ghasia
Mar 02, 2023 01:05Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Csaba Korosi amepongeza agizo la Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei la kutoa msamaha kwa idadi kubwa ya wafungwa wa Iran na kusema kuwa hatua hiyo inastahili kupongezwa.