-
Ayatullah Khatami: Matembezi ya Bahman 22 ni ishara ya ushindi wa wananchi dhidi ya njama zote
Feb 10, 2023 07:42Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesema kuwa, matembezi ya Bahman 22 (Febrauri 11) ambayo yatafanyika kesho Jumamosi katika kona zote za Iran kuadhimisha mwaka wa 44 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, kwa taufiki na uwezo wa Mwenyezi Mungu yatakuwa ni muhuri wa ushindi wa wananchi wa Iran ya Kiislamu dhidi ya njama zote za maadui.
-
Shehena ya sita ya misaada ya Iran yawafikia wahanga wa tetemeko la ardhi nchini Syria
Feb 10, 2023 07:00Shehena ya sita ya ndege ya misaada ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya wahanga wa tetemeko la ardhi imewafikia wananchi wa Syria mapema leo Ijumaa.
-
Mazungumzo ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Feb 10, 2023 03:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wamejadili kuhusu matukio ya kieneo na kimataifa, ikiwa ni pamoja na tetemeko kubwa la ardhi lililotokea karibuni nchini Syria na Uturuki, na hali ya mazungumzo ya kuiondolea Iran vikwazo vya kidhulma.
-
Nchi 90 zinataka kupokea ndege zisizo na rubani (droni) za Iran
Feb 09, 2023 09:48Mshauri wa Waziri wa Intelijensia wa Iran amesema nchi zipatazo 90 duniani zina hamu ya kupokea ndege zisizo na rubani (droni) za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Amir-Abdollahian: Uhusiano wa Iran na Guinea unazidi kuimarika
Feb 09, 2023 08:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Guinea ni mzuri, wa kirafiki, wa kihistoria na unaoendelea kuimarika.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu asisitiza ulazima wa kuwepo umoja wa kitaifa na kukabiliana na mikakati ya adui
Feb 09, 2023 07:18Umoja wa kitaifa na umoja wa jamii una nafasi maalum kwa watu wa kila nchi. Bila kuwepo umoja wa kitaifa, uhai wa nchi na taifa hauwezi kupatikana. Umoja wa kitaifa unamaanisha umoja wa taifa kubwa na lenye fahari la Iran ambao ni siri ya ushindi wa taifa hili na sababu ya kuimarishwa jamii.
-
Shehena ya nne ya misaada ya kibinadamu ya Iran kwa ajili ya waathiriwa wa tetemeko la ardhi yawasili Aleppo, Syria
Feb 09, 2023 04:29Shehena ya nne ya misaada ya kibinadamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa watu waliokumbwa na tetemeko la ardhi nchini Syria iliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aleppo (kaskazini magharibi mwa Syria) Jumatano jioni.
-
Shamkhani: Marekani inataka kuigeuza Afghanistan kitovu cha ugaidi
Feb 08, 2023 22:52Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani njama za Marekani za kujaribu kuigeuza Afghanistan kimbilio na kitovu cha ugaidi.
-
Amiri Jeshi Mkuu wa Iran: 22 Bahman mwaka huu itadhihirisha umoja wa kitaifa na kusambaratisha stratijia ya adui
Feb 08, 2023 08:50Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na mamia ya makamanda na wafanyakazi wa Kikosi cha Anga na Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Iran na kusema: "Bahman 22 (11 Februari) mwaka huu itakuwa madhihirisho ya umoja wa kitaifa," na kuongeza kuwa, "Bahman 22 mwaka huu itakuwa ni dhihirisho la izza na kuaminiana wananchi pamoja na umoja wa kitaifa."
-
Raisi: Kurusha satelaiti 6 ndani ya mwaka mmoja ni mfano halisi wa maendeleo ya Iran
Feb 08, 2023 08:30Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kurushwa kwa satelaiti 6 katika anga za mbali katika kipindi cha mwaka mmoja ni mfano halisi wa maendeleo ya nchi katika mwelekeo wa maendeleo ya sayansi na teknolojia.