-
Jeshi la Anga la Iran lazindua kituo cha siri cha ndege chini ya ardhi
Feb 08, 2023 01:12Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetangaza kuzindua kituo cha ndege kilicho chini ya ardhi ambacho kimepewa jina la "Oqab 44" (Tai 44).
-
Iran yazindua satalaiti mbili mpya ambazo imejiundia yenyewe
Feb 08, 2023 01:03Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezindua satelaiti mbili ambazo imejiundia yenyewe moja ikiwa ni ya mawasiliano na nyingine ya kupiga picha.
-
Kan'ani: Madai kwamba Iran na Russia zinajenga kiwanda cha droni, ni ya uongo
Feb 07, 2023 23:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameyataja madai ya jarida la Wall Street Journal kwamba Iran na Russia zinajenga kiwanda chenye uwezo wa kuunda ndege zisizo na rubani (droni) elfu sita kwa ajili ya kutumika vitani huko Ukraine kuwa ni ya uongo.
-
Raisi: Uhusiano wa Iran na Zimbabwe ni wa kirafiki
Feb 07, 2023 11:48Rais wa Jamhuri ya Kiislamu, amesema uhusiano wa Iran na Zimbabwe baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu daima umekuwa wa kirafiki na unaendelea kuimarika.
-
Brigedia Jenerali Sharif: Wahusika wa shambulio lililoshindwa dhidi ya Isfahan watajuta
Feb 07, 2023 06:58Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sepah) amesema kuwa, wahusika wa shambulio lililofeli hivi karibuni kwenye moja ya karakana za Wizara ya Ulinzi ya Iran katika mji wa Isfahan katikati mwa Iran, bila shaka watajutia kitendo hicho.
-
Iran yatoa mkono wa pole kufuatia matetemeko ya ardhi yaliyoua maelfu ya watu Uturuki, Syria
Feb 06, 2023 23:34Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi kwa serikali na wananchi wa Uturuki na Syria, kufuatia mitetemeko miwili mikubwa ya ardhi iliyoyakumba maeneo ya kusini mashariki mwa Uturuki na kaskazini mwa Syria.
-
Msamaha wa Kiongozi Muadhamu kwa wafungwa wa machafuko ya hivi karibuni
Feb 06, 2023 22:51Kwa mnasaba wa kuwadia maadhimisho ya miaka 44 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na sikukuu za mwezi wa Rajab, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa msamaha na punguzo la vifungo kwa makumi ya maelfu ya watuhumiwa na wafungwa wa machafuko ya hivi karibuni hapa nchini.
-
Gharibabadi: Kusamehewa watuhimiwa Iran ni ubunifu usio na kifani
Feb 06, 2023 04:33Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Kibinadamu la Iran amesema kusamehewa watuhumiwa nchini ni ubunifu usio na kifani na kuongeza kuwa: "Hatua hii ya kibinadamu na Kiislamu ni kubwa katika uga wa haki za binadamu na inaonyesha kuwa mfumo wa Kiislamu wa Iran ni wa wananchi na wenye huruma."
-
Makumi ya maelfu wafungwa wapata msamaha wa Kiongozi Muadhamu
Feb 05, 2023 23:14Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa msamaha na punguzo la vifungo kwa makumi ya maelfu ya watuhumiwa na wafungwa kwa mnasaba wa kuwadia maadhimisho ya miaka 44 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na sikukuu za mwezi wa Rajab.
-
"Uzoefu wa JCPOA umeipa Iran funzo la kutowategemea maajinabi"
Feb 05, 2023 07:19Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema Jamhuri ya Kiislamu imejifunza kutowategemea maajinabi kutokana na uzoefu wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.