-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini Venezuela
Feb 05, 2023 06:25Akiwa ziarani nchini Venezuela, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa nchi hiyo ya Amerika ya Latini ambapo amekuwa pia na mashauriano na Rais wa nchi hiyo Nicolas Maduro.
-
Qalibaf: Umoja kati ya nchi za Kiislamu ndilo tukio muhimu lililojiri kwenye kikao cha muungano wa mabunge ya Kiislamu
Feb 05, 2023 04:28Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema: kupatikana umoja wa nchi za Kiislamu ndilo tukio muhimu lililojiri katika kikao cha muungano wa mabunge ya Kiislamu nchini Algeria.
-
Amir-Abdollahian: Sera ya vikwazo ya Marekani itashindwa tu
Feb 05, 2023 00:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian, amesema sera ya Marekani ya vikwazo vya upande mmoja na vya uonevu itashindwa tu.
-
Iran: Wakiukaji wa kila siku wa haki za binadamu ni wabeba bendera ya uongo ya haki za binadamu
Feb 04, 2023 07:15Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, watu ambao ndio wakiukaji wakubwa wa kila siku wa haki za binadamu ulimwenguni, leo ni wabeba bendera ya uongo ya kutetea haki za binadamu.
-
Iran yatoa mwito wa kupanuliwa uhusiano wake na Venezuela
Feb 04, 2023 04:02Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Venezuela wametilia mkazo udharura wa kuzidisha uhusiano na ushirikiano wa pande mbili katika nyuga tofauti bila vizingiti.
-
Iran yajibu uropokaji wa Macron, yamtaka azungumzie silaha za nyuklia za Israel
Feb 03, 2023 23:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa matamshi ghalati ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa aliyedai katika mazungumzo yake na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel kuwa, eti Paris inatiwa wasiwasi na shughuli za nyuklia za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran yalaani ukandamizaji wanaofanyiwa wanawake katika nchi za Magharibi
Feb 03, 2023 09:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje tya Iran amelaani hatua kandamizi ya Baraza la Congress la Marekani ya kumtoa Mbunge Ilhan Omar katika Kamati ya Mambo ya Nje ya baraza hilo na kusema kuwa, huo ni unyanyasaji wa kitaasisi uliofanywa na Bunge la Marekani kwa ajili ya kukandamiza sauti za wanawake.
-
Radiamali ya Iran kwa vitendo vya uhasama vya utawala wa Kizayuni na msimamo wa kichochezi wa Ukraine
Feb 03, 2023 04:47Amir Saeed Irwani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa, siku ya Jumatano, akizungumzia shambulio la kigaidi kwenye kiwanda cha Wizara ya Ulinzi huko Isfahan, amesema katika barua kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na pia kwa mwenyekiti wa kiduru wa Baraza la Usalama kwamba uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa utawala wa Kizayuni umehusika na tukio hilo la kigaidi.
-
Iran yakosoa ripoti 'isiyo sahihi' ya IAEA kuhusu kituo cha Fordow
Feb 03, 2023 04:27Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amelalamikia ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) kuhusu shughuli za nyuklia za kituo cha nyuklia cha Fordow nchini Iran na kusema tafsiri ya mkaguzi wa IAEA aliyetembelea kituo hicho cha nyuklia haikuwa sahihi.
-
Iran: Ni haki yetu kujibu vikali vitisho na vitendo viovu vya Israel
Feb 03, 2023 01:02Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ndio wa kubeba dhima ya shambulio la kkigaidi la ndege isiyo na rubani (drone) lililolenga karakana ya zana za kijeshi mjini Isfahan Iran na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ina haki ya kujibu vikali vitisho vyovyote na kile kitendo kisicho cha haki cha utawala wa Tel Aviv.