-
Iran yasisitiza kukomeshwa chokochoko za utawala wa Kizayuni huko Syria
Jan 26, 2023 04:45Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa: Baraza la Usalama linapasa kuushinikiza utawala wa Kizayuni ili uhitimishe chokochoko na hatua zake za uvamizi dhidi ya mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi yote ya Syria.
-
Kiongozi Muadhamu alaani vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya
Jan 26, 2023 02:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa taarifa kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi kadhaa za Ulaya na kusisitiza kuwa: "Kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu kiwendawazimu chini ya nara ya 'uhuru wa maoni' ni ishara kuwa uistikbari unalenga Uislamu na Qur'ani Tukufu."
-
Iran yajibu mapigo, yatangaza vikwazo dhidi ya EU, Uingereza
Jan 26, 2023 00:32Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imejibu hatua ya Umoja wa Ulaya na Uingereza ya kuwawekea vikwazo baadhi ya shakhsia binafsi na wa kiserikali wa Jamhuri ya Kiislamu, kwa kutangaza vikwazo dhidi ya shakhsia na taasisi za EU na Uingereza.
-
Kan'ani: SEPAH imesambaratisha mikakati ya kibeberu ya Marekani
Jan 26, 2023 00:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) limesambaratisha njama za maadui hasa Marekani katika ukanda huu na kuufedhehesha utawala wa Kizayuni.
-
Admeli Fadavi: Jitihada za maadui za kuliyumbisha taifa la Iran zimefeli
Jan 25, 2023 09:05Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema njama za maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kutaka kuliyubisha taifa hili zimeshindwa na zitaendelea kushindwa.
-
Raisi: Uhusiano wa Iran na Syria umejengeka katika misingi ya muqawama
Jan 24, 2023 23:34Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa Iran na Syria ni thabiti na kwamba umejengwa katika misingi ya moyo wa muqawama na mapambano ya wananchi wa mataifa haya mawili.
-
Iran: Ulaya italipa gharama kubwa kwa hatua zake dhidi ya IRGC
Jan 24, 2023 23:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema uingiliaji kati wa Bunge la Ulaya, na hatua ya kihisia ya taasisi hiyo ya kupiga kura ya kuliongeza Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) katika orodha ya eti makundi ya 'kigaidi' ya Umoja wa Ulaya itakuwa na matokeo mabaya, na kwamba Ulaya italipa gharama kubwa kwa hatua zake hizo.
-
Karibuni hivi Iran itatoa orodha mpya ya vikwazo dhidi ya waenezaji ugaidi wa EU na Uingereza
Jan 24, 2023 04:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani hatua ya Umoja wa Ulaya na Uingereza ya kuwawekea vikwazo baadhi ya shakhsia binafsi na wa kiserikali wa Iran na akasema karibuni hivi Iran itatangaza orodha ya vikwazo vipya dhidi ya wavunjaji wa haki za binadamu na waenezaji ugaidi walioko katika Umoja wa Ulaya na Uingereza.
-
Rais Raisi: Uhusiano wa kiuchumi wa Iran na Russia unaendelea kuimarika na kustawi
Jan 23, 2023 23:45Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa uhusiano wa kiuchumi kati ya Iran na Russia unaendelea kuimarika na kustawi.
-
Rais Raisi: Zaidi ya 90% ya dawa zinazohitajika zinatengenezwa nchini
Jan 23, 2023 08:39Rais Ebrahim Raisi amesema, asilimia tisini ya dawa zinazohitajika zinatengenezwa humuhumu nchini.