-
Ukosoaji wa Iran kwa kimya cha Baraza la Usalama mkabala wa jinai za utawala wa Kizayuni
Jan 21, 2023 08:12Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema katika kikao cha baraza hilo kuhusu Palestina kuwa mwaka uliopita ulikuwa mwaka wa mauaji makubwa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu; kwa sababu vitendo vya ukandamizaji, kupenda kujitanua na vya kibaguzi vya utawala wa Israell dhidi ya raia wa Palestina viliendelea na kushika kasi bila kusita.
-
Spika: Majlisi ya Iran itachukua 'hatua nzito' mkabala wa Bunge la Ulaya
Jan 21, 2023 06:55Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameashiria hatua ya Bunge la Ulaya iliyo dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) na kusema kuwa, iwapo Ulaya inataka 'kufunga mlango wa mantiki' na kuunga mkono ugaidi, basi Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kuchukua hatua nzito ya kujibu mapigo.
-
Amir-Abdollahian: SEPAH imeziokoa nchi za Ulaya na shari za Daesh/ISIS
Jan 20, 2023 23:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, nchi za Ulaya zina deni kwa jihadi kubwa iliyofanywa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH katika kupambana na ugaidi na kwamba miji mikuu ya nchi za Ulaya imebaki salama mbele ya shari ya mashambulizi ya magaidi wa Daesh (ISIS) kutokana na jihadi hizo kubwa ya SEPAH.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: SEPAH ni nguzo na msingi wa nguvu za Jamhuri ya Kiislamu
Jan 20, 2023 07:30Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH ni nguzo muhimu na ni msingi wa nguvu za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa, wananchi na fikra za kitawhidi za maimamu wawili wa Mapinduzi ya Kiislamu, daima zimekuwa ndizo ngao za jeshi la SEPAH.
-
Kan'ani: Jeshi la SEPAH ni chombo muhimu mno cha kupambana na ugaidi duniani
Jan 20, 2023 06:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiisamu ya Iran amejibu hatua ya Bunge la Ulaya iliyo dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH na kusisitiza kuwa, SEPAH ni chombo kikubwa na muhimu zaidi cha kupambana na ugaidi duniani.
-
Rais Raisi: Mtazamo wa kumwona mwanamke kama wenzo na bidhaa utashindwa tu
Jan 20, 2023 04:31Rais Ebrahim Raisi amesema haipasi mwanamke kuwa mtu wa pembeni au kutengwa katika jamii na akasisitiza kuwa mitazamo yote miwili, wa fikra mgando kuhusiana na mwanamke na wa madola na wanasiasa wa Magharibi wa kumwangalia mwanamke kama wenzo tu inaelekea kushindwa na kukataliwa.
-
Rais Raisi: Hatua ya EU ya kuiweka IRGC kwenye orodha ya mashirika ya kigaidi inatokana na kuishiwa na uwezo wa kufanya lolote
Jan 19, 2023 23:56Rais Ebrahim Rais amesema kuwekwa jina la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC kwenye orodha ya kile kinachoitwa "mashirika ya kigaidi" ni hatua iliyochukuliwa na Umoja wa Ulaya kutokana na kuishiwa na uwezo wa kufanya lolote.
-
Iran: EU imefanya kosa kubwa kuiweka IRGC katika orodha ya ugaidi
Jan 19, 2023 07:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Bunge la Ulaya limefanya kosa kubwa kwa kupiga kura ya kuutaka Umoja wa Ulaya na nchi wanachama wa EU kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) katika orodha ya makundi ya kigaidi.
-
Siku ya Ghaza; Iran yaitaka UN iwe mkweli katika kuwalinda na kuwaunga mkono Wapalestina
Jan 19, 2023 03:20Balozi na Mwakilishi wa Kudunu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Matiafa amelalamikia kimya cha Baraza la Usalama la umoja wa huo mbele ya jinai za utawala wa Kizayuni na kulitaka lifanye haraka kutoa azimio la kuwaunga mkono wananchi madhlumu wa Palestina.
-
Mwakilishi wa Iran UN akanusha kukutana na mwakilishi wa Marekani
Jan 18, 2023 23:32Ofisi ya Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imekanusha uvumi ulioenezwa na baadhi ya vyombo vya habari kwamba mwakilishi wa Iran katika umoja huo ameonana na mwakilishi maalumu wa Marekani katika masuala ya Iran.