-
Hauli ya Haj Qassem yafanyika Nigeria kwa maandamano na kuchomwa moto bendera ya Marekani
Jan 04, 2023 00:54Wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika hauli na kumbukumbu ya kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na kuchoma moto bendera ya Marekani.
-
Raisi: Ulipizaji kisasi cha damu ya Shahidi Soleimani ni hakika isiyoepukika
Jan 03, 2023 11:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Wamarekani wanapaswa kujua kwamba watu wa Iran hawataiacha damu ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani iende bure, na bila shaka watalipiza kisasi kwa damu ya shahidi huyo wa ngazi ya juu.
-
Wananchi wa Iran wamkumbuka Jenerali Soleimani aliyeuawa kigaidi na Marekani
Jan 03, 2023 11:51Wananchi kote katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo wametoa heshima kwa shujaa wao Jenerali Haj Qassem Soleimani, kamanda maarufu duniani wa mapambano dhidi ya ugaidi ambaye aliuawa katika hujuma ya kigaidi ya Marekani mwaka 2020.
-
Baqeri Kani: Iran imeshikamana na misimamo yake katika mazungumzo ya kuondolewa vikwazo
Jan 03, 2023 07:38Mkuu wa timu ya Iran ya kufanya mazungumzo ya nyuklia amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imeshikamana vilivyo na misimamo yake katika mazungumzo ya kuondolewa vikwazo.
-
Mkuu wa Jeshi: Iran itatoa jibu kali na la nguvu kwa vitisho vinavyoweza kutolewa na utawala wa Kizayuni
Jan 03, 2023 04:40Kamanda Mkuu wa Jeshi la Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa, jeshi hilo litatoa jibu kali na madhubuti kwa tishio lolote linaloweza kusababishwa na utawala haramu wa Israel huku jeshi hilo likikamilisha mazoezi makubwa ya kijeshi kusini mwa nchi.
-
Luteni Jenerali Qassem Soleimani; nembo ya muqawama na vita dhidi ya ugaidi Asia Magharibi
Jan 03, 2023 04:26Katika kipindi cha miongo kadhaa ya hima na idili, shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, alitoa huduma kubwa kwa kambi ya muqawama katika eneo la Asia Magharibi ikiwemo nchini Iraq, Syria, Palestina na Lebanon; huduma ambazo zinmetambuliwa na viongozi wa muqawama kwamba, ni za kudumu na za kubakia milele.
-
Mkuu wa kundi la kupambana na vita la Marekani: Ningependa kumshukuru Qassem Soleimani kwa juhudi zake
Jan 03, 2023 04:09Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kamati ya Kimataifa ya Kuratibu Mapambano dhidi ya Ubeberu amesema: Lau Qassem Soleimani angekuwa miongoni mwetu leo, ningependa kumshukuru kwa juhudi zote alizofanya kupambana na ubeberu wa kimataifa.
-
IRGC: Kulipiza kisasi dhidi ya wauaji wa Shahidi Soleimani ni jambo lisilo na shaka
Jan 02, 2023 23:34Katika mwaka wa tatu wa kuuawa shahidi Jenerali Hajj Qassem Soleimani, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesema kulipiza kisasi dhidi ya wahalifu na wauaji wa shahidi huyo ni jambo ambalo bila shaka litafanyika.
-
Amir-Abdollahian: Iran kufanya duru ya nne ya mazungumzo na Iraq kuhusu faili la Shahidi Soleimani
Jan 02, 2023 22:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa duru ya nne ya mazungumzo kati ya Iran na Iraq kwa ajili ya kufuatilia faili la mauaji ya Shahidi Qassem Soleimani na wanajihadi wenzake itafanyika Iran.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Suala la maendeleo ya kisayansi na kuvuka mipaka ya elimu halipasi kusahaulika
Jan 02, 2023 08:52Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza katika mazungumzo na wawakilishi wa Baraza Kuu la Muungano wa Jumuiya za Wanachuo wa Kiislamu barani Ulaya kuwa suala la maendeleo ya kisayansi na kuvuka mipaka ya elimu halipasi kusahaulika.