-
Kan'ani: Virusi vya wendawazimu wa Marekani wa vikwazo vinaenea kwa haraka
Oct 22, 2022 03:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu hatua ya Canada ya kutangaza vikwazo vipya dhidi ya vyombo vya habari vya Iran na kusema kuwa, kuviwekea vikwazo vyombo vya habari na waandishi ni uvunjaji wa wazi wa haki za kimsingi za taifa la Iran.
-
Iran yapinga madai ya Ukraine kwamba iliipatia Russia ndege zisizo na rubani
Oct 21, 2022 23:28Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha madai ya Ukraine kwamba Jamhuri ya Kiislamu ilikiuka azimio la Umoja wa Mataifa kwa kile Kiev inachodai kuwa eti kuipatia Russia ndege zisizo na rubani au drone.
-
Ayatullah Khatami: Mustakabali wa Mapinduzi ya Kiislamu unazidi kung'aa
Oct 21, 2022 09:22Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema mustakabali wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran hii leo umeng'ara zaidi kuliko wakati wowote ule.
-
Iran yalaani jaribio la kuiondoa timu yake ya soka katika fainali za Kombe la Dunia
Oct 21, 2022 08:03Shirikisho la Soka la Iran limekosoa vikali jaribio la kuiengua timu ya taifa ya kandanda ya Jamhuri ya Kiislamu katika michuano ya Kombe la Dunia itakayoanza kutimua mavumbi mwezi ujao wa Novemba nchini Qatar.
-
Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai yasiyo na msingi
Oct 21, 2022 07:14Siku ya Alhamisi, Oktoba 20, Umoja wa Ulaya ulitangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai ambayo hayajathibitishwa kuhusu kushiriki ndege zisizo na rubani zilizotengenezwa na Iran katika vita vya Ukraine.
-
"Maadui wanataka kukwamisha ustawi wa Iran katika uga wa sayansi"
Oct 21, 2022 00:43Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema ghasia zilizoshuhudiwa hapa nchini zilipangwa na kuchochewa na maadui, kwa shabaha ya kukwamisha ustawi wa Jamhuri ya Kiislamu katika uga wa sayansi.
-
Mustakbali unaong'aa wa Iran katika matamshi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Oct 20, 2022 07:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, maendeleo ya miongo minne ya karibuni nchini Iran ni kielelezo cha usahihi wa uchambuzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu dunia mkabala wa uchambuzi wa watu wenye fikra na mielekeo ya Kimagharibi.
-
Amir-Abdollahian: Iran inapinga vikali vita na kuzipatia silaha pande mbili zinazopigana
Oct 20, 2022 00:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu inapinga vikali vita na kuupatia silaha upande wowote kati ya pande mbili zinazopigana.
-
Droni za Iran zaangamiza kwa mafanikio maeneo ya "adui dhahania"
Oct 19, 2022 21:16Ndege zisizo na rubani (droni) za kivita za Jeshi la Nchi Kavu la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH zimesambaratisha maeneo ya "adui dhahania" kwa kupiga kwa ustadi mkubwa shabaha zilizokusudiwa.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Miaka 40 ya maendeleo inaonyesha usahihi wa uchambuzi wa Mapinduzi
Oct 19, 2022 09:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, maendeleo ya miaka 40 ya nchi yanadhihirisha usahihi wa uchambuzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu dunia mkabala wa uchambuzi wa watu wenye fikra na mielekeo ya Kimagharibi.