-
Kiongozi wa Mapinduzi: Miaka 40 ya maendeleo inaonyesha usahihi wa uchambuzi wa Mapinduzi
Oct 19, 2022 09:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, maendeleo ya miaka 40 ya nchi yanadhihirisha usahihi wa uchambuzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu dunia mkabala wa uchambuzi wa watu wenye fikra na mielekeo ya Kimagharibi.
-
Abdollahian asisitiza kupanua ushirikiano kati ya Iran na Pakistan
Oct 19, 2022 04:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa uhusiano wa Tehran na Islamabd uko katika hali nzuri na kusisitiza juu ya kupanuliwa ushirikiano kati ya Iran na Pakistan katika nyanja zote khususan katika suala la usalama.
-
Iran: EU inawapa hifadhi waliowaua Wairani 17,000 na kuwawekea vikwazo wanaolinda usalama wa nchi
Oct 18, 2022 23:08Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran amelaani undumilakuwili wa Umoja wa Ulaya kuhusu suala la haki za binadamu, kufuatia hatua ya umoja huo ya kuiwekea vikwazo vipya Jamhuri ya Kiislamu kwa kisingizio cha ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Rais wa Iran: Adui anataka kupora vipawa vya nchi
Oct 18, 2022 07:32Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa wasomi wenye vipawa ndio wanaoongoza usukani wa nchi na adui anataka kupora vipawa hivyo.
-
Mchango wa vyombo vya habari vya maadui katika fujo; onyo la Brigedia Jenerali Salami dhidi ya Saudi Arabia
Oct 18, 2022 07:00Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) ameashiria uafiriti na uchochezi wa vyombo vya habari vyenye mfungamano na utawala vamizi wa Saudi Arabia na kuuonya utawala huo kwa kusema: Jichungeni na kuweni makini na mienendo yenu na vidhibitini vyombo vyenu vya habari.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran apongeza kuteuliwa mwenzake wa Tanzania
Oct 18, 2022 04:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemnyooshea mkono wa tahania Stergomena Lawrence Tax, kwa kuteuliwa kuwa Waziri mpya wa Mashauri ya Kigeni wa Tanzania.
-
Iran: Vikwazo vya EU havina maana, ghasia haziruhusiwi popote duniani
Oct 18, 2022 00:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema ghasia, fujo na kuharibu mali za umma ni mambo yasiyokubalika katika sehemu yoyote ile duniani.
-
Brigedia Jenerali Salami aionya Saudia, aitaka iache kuwachochea vijana wa Iran waanzishe fujo
Oct 17, 2022 23:49Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) ameionya Saudi Arabia na kuuitaka iache mchezio mchafu wa kutumia vyombo vya habari kuwachochea vijana wa Iran ili waanzishe vurugu na machafuko.
-
Kan'ani: Iran itataoa jibu kwa mienendo ya kindumakuwili ya nchi za Ulaya
Oct 17, 2022 07:30Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya kigeni ya Iran amekosoa misimamo ya kinafiki na kindumakuwili ya nchi za Magharibi kuhusiana na machafujo ya Ulaya na Iran na kusema: Tehran itatoa jibu kwa mienendo ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine ya nchi za Ulaya.
-
Wafungwa wengine wanne wafariki kufuatia tukio la moto katika Gereza la Evin mjini Tehran
Oct 17, 2022 03:57Kituo cha Habari cha Idara ya Mahakama ya Iran Kimetangaza kufariki dunia wafungwa wengine wanne kufuatia tukio la moto katika Gereza la Evin mjini Tehran.