-
Moqtadai: Ulaya haina chaguo jingine isipokuwa kutekeleza matakwa ya Iran
Mar 28, 2022 02:49Naibu wa Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu kamwe haitovuka mistari yake myekundu iliyoitangaza wazi na kwamba Ulaya haina njia nyingine isipokuwa kuheshimu na kutekeleza matakwa ya Iran.
-
WHO yahimizwa itoe msukumo wa kusajiliwa kimataifa chanjo za corona zilizotengenezwa Iran
Mar 27, 2022 23:01Mkurugenzi Mkuu wa Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Afya ya Iran amesisitiza udharura wa Shirika la Afya Duniani WHO kusaidia chanjo za corona zilizotengenezwa Iran ziweze kusajiliwa kimataifa.
-
Iran na EU zajadili masuala yaliyosalia katika mazungumzo ya Vienna
Mar 27, 2022 07:59Kiongozi wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna, Ali Baqeri Kani amekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Enrique Mora, mratibu wa mazungumzo ya Vienna, ambapo wamejadili hatua zilizopigwa na masuala yaliyosalia katika mazungumzo hayo yanayofanyika huko Austria.
-
Amir- Abdollahian: Utatuzi wa masuala yaliyosalia katika mazungumzo ya Vienna unahitajia uamuzi wa Marekani
Mar 27, 2022 03:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana usiku aliwsiliana kwa simu na Sophie Wilmès Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji ambapo aliashiria hatua zilizopigwa katika mazungumzo ya Vienna na kueleza kuwa: Kupatiwa ufumbuzi masuala yaliyosalia kunahitaji maamuzi kutoka upande wa Marekani; suala ambalo linafuatiliwa na mwakilishi wa Umoja wa Ulaya.
-
Amir Abdollahian: Tuko tayari kufanya duru ya tano ya mazungumzo na Riyadh
Mar 26, 2022 02:12Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Iran iko tayari kwa ajili ya duru ya tano ya mazungumzo na Riyadh.
-
Iran: Vikosi vamizi vya Marekani viondoke Syria mara moja
Mar 25, 2022 21:53Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema vikosi vya Marekani na waitifaki wake vinapaswa kuondoka Syria haraka iwezekanavyo.
-
Ayatullah Khatami: Marekani isubiri vipigo zaidi vya kudhalilisha vya Iran
Mar 25, 2022 09:57Khatibu wa Muda wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehrah ameashiria kugonga mwamba sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu ya Marekani dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa, Washington ijiandae tena kushindwa kunakodhalilisha na Iran mwaka huu.
-
Ziara ya tatu ya Amir-Abdollahian nchini Syria katika kipindi cha miezi 7
Mar 25, 2022 04:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Hossein Amir-Abdollahian, Jumatano, tarehe 23 Machi alitembelea kwa mara ya tatu nchi ya Syria katika kipindi cha miezi 7 iliyopita.
-
Amir- Abdollahian: Tuna matumaini na tuko jadi kuhusu natija ya mazungumzo ya Vienna
Mar 25, 2022 03:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina matumaini na wakati huo huo ipo jadi kuhusu matokeo ya mazungumzo ya Vienna.
-
Iran: Njia pekee ya kutatua mgogoro wa Yemen ni ya kisiasa kwa uongozi wa Wayemen wenyewe
Mar 24, 2022 09:19Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeeleza katika taarifa kwamba, njia pekee ya kutatua mgogoro wa Yemen ni ya kisiasa kwa usimamizi na uongozi wa Wayemen wenyewe.