-
Iran yasisitiza ulazima wa kuuzuia utawala wa Kizayuni kujipenyeza katika Ulimwengu wa Kiislamu
Mar 24, 2022 05:34Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) amesema jumuiya hiyo inapaswa kuzuia kujipenyeza kwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Iran: Tumeieleza wazi Marekani, hatuwezi kufumbia macho mistari yetu myekundu
Mar 24, 2022 02:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran imeieleza wazi Marekani kuwa kamwe haiwezi kuvuka mistari yake myakundu.
-
Iran: Tutaishambulia tena Israel kwa makombora ikituchokoza
Mar 23, 2022 23:09Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametahadharisha kuwa, iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utafanya tena vitendo vyake vya kishetani dhidi ya Iran, basi uwe tayari kukabiliwa tena kwa makombora ya balestiki ya jeshi la SEPAH.
-
Khatibzadeh: OIC inapaswa kuuzuia utawala wa Kizayuni kujipenyeza katika Ulimwengu wa Kiislamu
Mar 23, 2022 10:03Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) amesema jumuiya hiyo inapaswa kuzuia kujipenyeza kwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Takht Ravanchi: Tupateni ilhamu katika ujumbe wa amani, urafiki, mshikamano na upendo wa Nouruzi
Mar 23, 2022 02:06Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema, "tupateni ilhamu katika ujumbe wa amani, urafiki, mshikamano na upendo wa Nouruzi."
-
Amir-Abdollahian: Iran iko tayari kikamilifu kufikia makubaliano mazuri, imara na endelevu
Mar 22, 2022 23:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza ulazima wa kuzingatiwa maslahi ya taifa la Iran na mistari myekundu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na akabainisha kwamba, Tehran iko tayari kikamilifu kufikia makubaliano mazuri, imara na endelevu ya nyuklia.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu na kauli mbiu ya mwaka mpya: Uzalishaji unaotegemea teknolojia na kutengeneza ajira
Mar 22, 2022 03:52Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyid Ali Khamenei, ametoa ujumbe kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1401 Hijria Shamsia na akaupa mwaka huo jina la mwaka wa "Uzalishaji wa Kutegemea Teknolojia na Utengenezaji Ajira".
-
Khatibzadeh: Iran itaendelea kuwa sauti ya ulimwengu wa Kiislamu
Mar 22, 2022 02:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imejitolea kwa dhati kuendelea kupaza sauti ya ulimwengu wa Kiislamu na mataifa yanayodhulumiwa duniani.
-
Kiongozi Muadhamu: Taifa la Iran limefanya machaguo sahihi katika kupambana na Uistikbari
Mar 21, 2022 23:01Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyid Ali Khamenei amesema kuhusu matukio ya dunia yanayoendelea kujiri katika nchi za Afghanistan, Ukraine na Yemen kwamba: "matukio yote haya yanaonyesha ukweli wa taifa la Iran na machaguo sahihi liliyofanya katika kupambana Uistikbari."
-
Sisitizo la Kamanda wa Jeshi la Majini la Iran kuhusu kupambana vilivyo na ushetani wa adui
Mar 21, 2022 04:23Admiral Shahram Irani, Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imejiimarisha vilivyo kupambana na ushetani wowote wa maadui na haitatoa mwanya hata kidogo wa kufanikiwa njama za adui.