-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la uungaji mkono wa Iran kwa wananchi wa Afghanistan
Aug 29, 2021 05:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu sambamba na kuashiria mazingira ya sasa ya Afghanistan amesisitiza himaya na uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamuu ya Iran kwa wananchi wa nchi hiyo.
-
Baqeri: Marekani imeondoka Afghanistan baada ya kushindwa kwa fedheha
Aug 29, 2021 03:09Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Marekani imeondoka nchini Afghanistan baada ya kushindwa kwa fedheha.
-
Kiongozi Muadhamu: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono taifa madhulumu na la Waislamu wa Afghanistan
Aug 28, 2021 11:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaunga mkono taifa madhulumu la Waislamu wa Afghanistan katika hali yoyote ile." Aidha ameongeza kuwa, uhusiano wa Iran na serikali zingine utategemea muamala wao na Iran.
-
Mashindano ya kijeshi ya majeshi ya dunia Isfahan; dhihirisho la nguvu katika kivuli cha urafiki
Aug 28, 2021 03:36Duru ya sita ya mashindano ya kijeshi ya majeshi ya dunia yanaendelea huko Shahin katika mji wa Isfahan Iran kwa kuhudhuriwa na timu nne za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia, Uzbekistan na Vietnam.
-
Iran yalaani mashambulio ya Kabul, ISIS yatangaza kuhusika nayo
Aug 27, 2021 03:39Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali mashambulio ya kigaidi yaliyotokea nje ya uwanja wa ndege wa Kabul nchini Afghanistan jana Alkhamisi.
-
Rais Raisi: Uhusiano wa Iran na Pakistan ni wa tangu na tangu, wa kiimani na wa baina ya watu
Aug 26, 2021 22:07Rais Ebrahim Raisi amesema, uhusiano wa Iran na Pakistan ni wa tangu na tangu, wa kiitikadi na unaotokana na mtazamo wa watu wenyewe wa mataifa hayo mawili.
-
Rais Raisi na mawaziri wapya wajadidisha utii kwa malengo ya Imam Khomeini (MA)
Aug 26, 2021 08:06Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akiwa na baraza lake la mawaziri wamefika katika Haram Takatifu ya muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomieni (MA) na kujadidisha bai'a na mkono wa utii kwa malengo ya Imam na Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Bunge la Iran lapasisha mawaziri 18 wa serikali ya Ibrahim Raeisi; mmoja akataliwa
Aug 26, 2021 03:35Wawakilishi wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameipigia kura ya kuwa na imani nayo serikali mpya ya Rais Ibrahim Raeisi na kuwapasisha mawaziri 18 kati ya 19.
-
Iran: Ugaidi ni matokeo ya uingiliaji wa kijeshi na njama za kisiasa
Aug 25, 2021 08:30Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ni muhanga mkubwa wa aina zote za ugaidi tangu kuasisiwa kwake na kwa msingi huo, inawaunga mkono manusura wote wa vitendo vya kigaidi.
-
Iran yafanikiwa kuunda kifaa cha kupima vinasaba, DNA
Aug 24, 2021 22:30Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran sasa ina teknolojia ya kujiundia kifaa cha kupima vinasaba (DNA).