-
Watu wengine 709 wameaga dunia nchini Iran kwa ugonjwa wa Covid-19
Aug 24, 2021 08:37Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran imetangaza kuwa, watu 709 wameaga dunia hapa nchini katika saa 24 zilizopita kutokana na ugonjwa wa Covid-19.
-
Afghanistan; ajenda kuu ya mazungumzo ya rais wa Iran na Kansela wa Austria
Aug 24, 2021 03:57Sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimesimama juu ya msingi wa amani na usalama katika eneo la Asia Magharibi.
-
Iran yataka kupelekwa misaada zaidi ya kibinadamu nchini Syria
Aug 24, 2021 03:10Msaidizi Mwandamizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika Masuala Maalumu ya Kisiasa ametoa mwito wa kupelekwa nchini Syria misaada zaidi ya kibinadamu.
-
Rais Raisi: Miaka 500 ya uhusiano wa kirafiki wa Iran na Austria ni rasilimali yenye thamani kwa mustakabali
Aug 23, 2021 22:16Rais Ebrahim Raisi amesema miaka 500 ya uhusiano wa kirafiki wa nchi mbili za Iran na Austria ni rasilimali yenye thamani kwa mustakabali wa uhusiano huo.
-
Iran yahimiza kuundwa serikali jumuishi Afghanistan, yasema hakuna suluhisho la jeshi
Aug 23, 2021 08:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa wito kwa vikundi vya Afghanistan kutumia tukio la kuondoka wanajeshi wa Merekani nchini humo kama fursa ya kurejesha amani katika nchi yao, akisema historia ya Afghanistan inaonesha kuwa hakuna suluhisho la kijeshi kwa mizozo ya nchi hiyo.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan mjini Tehran; majadiliano kuhusu uhusiano wa pande mbili na matukio ya kieneo
Aug 23, 2021 06:59Jana Jumapili, Toshimitsu Motegi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan alionana na kuzungumza mjini Tehran na Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kamanda Hajizadeh: Maadui wasithubutu kuijaribu Iran
Aug 23, 2021 06:54Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema maadui wanafahamu vyema uwezo mkubwa wa Iran na irada ya taifa hili la Kiislamu ya kuzima tishio lolote dhidi yake; hivyo hawapaswi kuthubutu kuchukua hatua yoyote ya kuijaribu nchi hii.
-
Spika Qalibaf: Japan ichukue hatua za maana za kuachiliwa fedha za Iran
Aug 23, 2021 03:25Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka Japan ichukue hatua za maana kuhakikisha kwamba, fedha za Iran zilizozuiwa katika benki za nchi hiyo zinaachiliwa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan aitaka Marekani iache uroho na uchu wa mali
Aug 22, 2021 23:01Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Japan amesema ili kuyahuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Marekani inapaswa kuachana na tabia yake ya uroho, uchu na hamu kubwa ya kukusanya na kurundika mali.
-
Rais Raeisi: Kustawisha uhusiano na Japan kuna umuhimu mkubwa kwa Iran
Aug 22, 2021 06:52Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uhusiano wa Iran na Japan ni mzuri na wa kirafiki na kwamba, kutawishwa zaidi uhusiano huo ni jambo lenye umuhimu mkubwa kwa taifa hili.