-
Viwanda ya ulinzi ni nguzo ya uwezo wa Majeshi ya Iran
Aug 22, 2021 05:07Tarehe 31 Mordad kwa mujibu wa kalenda ya Hijria Shamsia sawa na Agosti 22 ni Siku ya Viwanda vya Ulinzi Iran.
-
Iran yapanua wigo wa ulinzi nje ya mipaka yake
Aug 22, 2021 03:59Wizara ya Ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema kupitia taarifa kwamba inaimarisha ilinzi wa nchi nje ya mipaka yake kwa lengo la kuzuia hujuma yoyote inayoweza kufanywa na maadui, kusudio likiwa ni utawala haramu wa Israel na nchi za Magharibi.
-
Majeshi ya Majini ya Iran na Pakistan kushirikiana Bahari ya Hindi
Aug 21, 2021 23:23Admeli Shahram Irani Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na Makuu wa Jeshi la Majini la Pakistan Admeli Mohammad Amjad Khan Niazi na kusema uhusiano wa majeshi ya majini ya nchi hizi mbili ni wa kistratijia na umekuwa mzuri kwa miaka mingi.
-
Rais Raisi: Ni wakati wa harakati ya jihadi kwa ajili ya kujenga Iran imara
Aug 21, 2021 03:47Rais Ebrahim Raisi anasema amechagua baraza la mawaziri ili kuboresha uchumi na kupambana na ufisadi. Ameyasema hayo mapema leo wakati Bunge lilipoanza kujadili majina ya mawaziri walioteuliwa na Rais mpya wa Iran.
-
Swala ya Adhuhuri ya Ashura yaswaliwa kote katika Iran ya Kiislamu
Aug 19, 2021 11:07Waombolezaji kote katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo wameswali Swala ya Adhuhuri ya Ashura katika kumbukumbu ya siku aliyouawa shahidi kiongozi wa mashahidi, Imam Hussein AS.
-
Iran, China na Russia zina maslahi na dukuduku zinazofanana kuhusu masuala ya kimataifa
Aug 19, 2021 04:31Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na wenzake wa Russia na China akisisitiza kuwa suala la kustawishwa na kuimarishwa uhusiano baina ya Tehran na nchi hizo mbili ni miongoni mwa vipaumbele vya serikali mpya ya Iran.
-
Wingu la huzuni na majonzi latanda Iran katika maombolezo ya Ashura
Aug 19, 2021 03:32Wananchi Waislamu waombolezaji hapa Iran leo wanashiriki kwenye vikao vya maombolezo kukumbuka ushujaa na dhulma waliotendewa mashahidi wa Karbala kkwa mnasaba wa siku ya Ashura.
-
Rais Raisi: Iran imeazimia kwa dhati kukamilisha hati kamili ya mashirikiano kati yake na Russia
Aug 18, 2021 22:49Rais Ebrahim Raisi amesema Iran imeazimia kwa dhati kukamilisha haraka iwezekanavyo hati kamili ya mashirikiano baina yake na Russia.
-
Shamkhani aionya Israel; Hatima ya uvamizi ni kutimuliwa
Aug 18, 2021 08:53Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuuambia kuwa, sera yake ya uvamizi na ukaliaji ardhi za Wapalestina kwa mabavu itapatwa na hatima ya kufedhehesha kama iliyoipata Marekani huko Afghanistan.
-
Jibu la Iran kwa ripoti mpya ya IAEA
Aug 18, 2021 03:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekumbusha kuwa, hatua za Iran za kupunguza uwajibikaji wake katika masuala ya nyuklia zinachukuliwa katika fremu ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA. Aidha amesema iwapo Marekani na madola mengine yaliyoafiki mapatano ya JCPOA yatatekeleza ahadi zao, basi Iran nayo itarejea katika mkondo wa kutekeleza ahadi zake.