-
Uchaguzi wa leo wa Iran umeakisiwa kwa wingi na vyombo vya habari vya kigeni
Jun 18, 2021 08:27Tangu dakika za wazali kabisa za kuanza zoezi la kupiga kura katika uchaguzi wa 13 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Ijumaa, Juni 18, 2021, vyombo vya habari vya ndani na nje ya Iran vinaendelea kuakisi kwa kiwango kikubwa uchaguzi huo.
-
Zarif asisitizia wajibu wa kuondolewa haraka vikwazo vyote vya Marekani
Jun 18, 2021 07:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna wajibu wa kuondolewa haraka vikwazo vyote vya kidhulma vilivyowekwa na Marekani dhidi ya taifa la Iran.
-
Rais Rouhani: Dunia nzima leo inafuatilia uchaguzi wa rais nchini Iran
Jun 18, 2021 03:48Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo baada na kupiga kura yake katika uchaguzi wa Rais amesema kuwa uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ni miongoni mwa chaguzi muhimu sana hapa nchini na kwamba dunia nzima inafuatilia uchaguzi huo.
-
CNN: Wairani wengi wanashiriki katika zoezi la upigaji kura uchaguzi wa rais
Jun 18, 2021 03:32Televisheni ya CNN ya Marekani imeripoti katika kipindi chake maalumu kilichopewa jina la "Uchaguzi wa Iran 2021" kwamba mahudhurio ya Wairani katika zoezi la kupiga kura katika saa za awali mapema leo ni ya kupewa mazingatio.
-
Mamilioni ya Wairani washiriki katika uchaguzi wa Rais na Mabaraza ya Miji na Vijiji
Jun 17, 2021 23:04Mamilioni ya Wairani wakiongozwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei tangu mapema leo wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kuchagua Rais wa 13 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na wawakilishi wao katika Mabaraza ya Miji na Vijiji.
-
Uchunguzi wa maoni: Raeis anaongoza kwa kuwa na zaidi ya asilimia 68 ya kura
Jun 17, 2021 22:54Uchunguzi wa maoni wa hivi karibuni unaonyesha kuwa mgombea urais Ebrahim Raeisi utashinda kwa kupata asilimi 68.9 ya kura.
-
Ghalibaf: Utatuzi wa matatizo ya nchi utapatikana kwa kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi
Jun 17, 2021 21:47Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesisitiza kuwa, matatizo ya nchi hayawezi kutatuliwa kwa kususia uchaguzi, bali jukumu kuu la wapiga kura ni kushiriki kwa wingi katika uchaguzi na kumchagua mtu ambaye wanaamini atawatatulia matatizo yao.
-
Rouhani: Tujitokeze kwa wingi kupiga kura ili tusiruhusu kutimia ndoto za adui
Jun 17, 2021 11:38Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine ametoa mwito kwa wananchi wa Iran kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi akisisitiza kuwa, kwa kushiriki vilivyo katika uchaguzi, taifa la Iran halitoruhusu kuaguka ndoto za adui.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu umuhimu wa kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi wa rais
Jun 17, 2021 04:07Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzui ya Kiislamu Ayatullah Khamenei amesema kuwa, kushiriki wananchi kwenye maamuzi ya kitaifa kwenye mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ni msingi na nguzo muhimu ya kifikra na wala si suala la kisiasa tu.
-
Usalama umeimarishwa nchini Iran kuelekea uchaguzi mkuu wa kesho
Jun 16, 2021 22:34Vyombo vya dola nchini Iran vimesema kuwa usalama umeimarishwa kote nchini kuelekea Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu unaofanyika kesho Ijumaa.