-
Ayatullah Khamenei: Wananchi watatoa jibu kwa adui kwa kushiriki kwa wingi katika uchaguzi wa Ijumaa
Jun 16, 2021 11:22Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa wanchi wa Iran wataonyesha fahari na heshima ya taifa kwa kushiriki kwa wingi katika uchaguzi wa rais utakaofanyika Ijumaa ijayo.
-
Wagombea 2 wajiondoa katika kinya'nganyiro cha urais nchini Iran
Jun 16, 2021 07:57Wagombea wawili kati ya saba wa Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unaotazamiwa kufanyika katika kipindi cha siku mbili zijazo wametangaza kujiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho.
-
Taifa la Iran katika mtihani mwingine wa uchaguzi
Jun 16, 2021 04:33Taifa la Iran siku mbili zijazo litashiriki katika uchaguzi muhimu wa rais na mabaraza ya miji na vijiji. Zoezi la uchaguzi siku zote hufuatiwa na mabadiliko ambayo yumkini yakawa chachu ya harakati kubwa ya jamii kuelekea kwenye ustawi na maendeleo zaidi.
-
Rouhani: Taifa la Iran limesimama imara katika vita vya kulazimishwa vya kiuchumi mkabala wa adui
Jun 16, 2021 03:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa la Iran limepitia masaibu chungu nzima katika muda wa miaka mitatu na nusu ya vita vya kiuchumi vya kulazimishwa lakini limeweza kusimama kidete mbele ya adui.
-
Rais Rouhani: Vikwazo na vita vya kiuchumi vitambuliwe kuwa ni jinai za kimya kimya
Jun 15, 2021 06:28Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo na vita vya kiuchumi lazima vipewe jina la jinai ya kimya kimya dhidi ya binadamu duniani.
-
Kiongozi wa Ahul Sunna: Kushiriki kwa wingi katika uchaguzi wa rais wa Iran kutavunja njama za adui
Jun 15, 2021 02:56Mwanachama wa Baraza la Fatwa la Ahul Sunna Kusini mwa Iran amesema kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi ujao wa Ijumaa nchini Iran kutavunja njama za maadui.
-
Iran imejiunga na kundi la nchi zinazozalisha chanjo ya COVID-19
Jun 14, 2021 23:24Msemaji wa Shirika la Dawa na Chakula Iran Daktari Kianoush Jahanpour amesema Iran imejiunga na kundi la nchi chache duniani zinazozalisha chanjo ya corona au COVID-19.
-
Zarif: Ushiriki wa wananchi katika uchaguzi kutasambaratisha pia vikwazo vya baadaye
Jun 14, 2021 23:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa kushiriki kwa wingi wananchi wa Iran katika uchaguzi si tu kutaharakisha kuondolewa vikwazo bali kutasambartisha pia vikwazo vya baadaye.
-
Chanjo ya COVID-19 ya Iran ya COV-Iran Barekat yapata idhini ya matumizi ya dharura
Jun 14, 2021 08:38Wizara ya Afya ya Jamhuri ya .Kiislamu ya Iran imetoa idhini ya matumizi ya dharura ya chanjo ya COVID-19 iliyoundwa hapa nchini ya COV-Iran Barekat
-
Ujumbe wa Kenya watembelea sekta ya teknolojia nchini Iran
Jun 14, 2021 08:37Ujumbe wa ngazi za juu wa wadau wa sekta ya sayansi na teknolojia nchini Kenya uko safarini katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa n chi mbili katika sekta hiyo.