-
Siri ya kubakia hai Jamhuri ya Kiislamu katika mtazamo wa Kiongozi Muadhamuu
Jun 05, 2021 03:42Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa ubunifu mkubwa zaidi ya hayati Imam Ruhullah Khomeini ni Jamhuri ya Kiislamu, kwa maana ya demokrasia ya kidini ambayo imetambulika rasmi kwa anwani ya Jamhuri ya Kiislamu na kwa anwani ya mfumo wa utawala uliojengeka kwa fikra za taifa la Iran na uongozi wa Imam Khomeini.
-
Qalibaf: Kushiriki kwa wingi katika uchaguzi ni mapambano kwa ajili ya kujenga mustakbali mwema wa nchi
Jun 05, 2021 02:34Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa hatua ya kuwaalika wananchi wote kushiriki kwa wingi katika uchaguzi ni jukumu la kitaifa, kimapinduzi na kimapambano kwa ajili ya kujenga mustakbali wa nchi.
-
Mkuu wa Kituo cha Kiislamu Manchester: Imam Khomeini ni mwasisi wa ustaabu mkubwa wa Kiislamu
Jun 04, 2021 06:35Mkuu wa Kituo cha Kiislamu katika mji wa Manchester nchini Uingereza amezungumzia mafanikio na athari za mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, hayati Imam Ruhullah Khomeini katika dunia ya sasa na kusema: Imam Khomeini alipandikiza mche wa ustaarabu mkubwa wa Kiislamu katika uwanja wa siasa.
-
Ayatullah Khamenei: Njia ya kufidia mapungufu ni kufanya uchaguzi sahihi
Jun 04, 2021 06:11Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo amehutubia taifa kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuaga dunia mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu nchini Iran Imam Ruhullah Khomeini akitilia mkazo udharura wa wananchi kushiriki kwa wingi katika uchaguzi wa rais na mabaraza miji na vijiji. Amesema kuchagua mtu sahihi na anayefaa ndiyo njia ya kuondoa mapungufu na matatizo yaliyopo.
-
Taathira za fikra za Imam Khomeini MA katika eneo la Asia Magharibi
Jun 04, 2021 05:05Ijumaa ya leo ya tarehe 4 Juni imesadifiana na mwaka wa 32 wa kufariki dunia mwasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran. Moja ya maudhui muhimu zinazozungumziwa leo hii ni taathira za fikra na sira ya Imam Khomeini MA katika eneo zima la Asia Magharibi.
-
Kiongozi Muadhamu: Jamhuri ya Kiislamu ni ubunifu muhimu zaidi wa Imam Khomeini (MA)
Jun 04, 2021 03:42Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema taifa la Iran hii leo na katika mustakabali wa mbali linapaswa kulinda kumbukumbu ya Imam Khomeini, Mwenyezi Mungu amrehemu.
-
Balozi wa Syria: Mapinduzi ya Kiislamu Iran yalikuwa tukio muhimu duniani
Jun 04, 2021 03:38Balozi wa Syria nchini mjini Tehran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa nchi yenye nafasi muhimu zaidi katika eneo la Magharibi mwa Asia na pia katika sera za kimataifa na inahusika katika kuibua mfumo mpya ya kimataifa.
-
Ujumbe wa Mapinduzi ya Kiislamu ni kurejea katika umaanawi na maadili mema
Jun 04, 2021 03:35Ujumbe muhimu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni kutoa wito kwa dunia ya sasa irejee katika umaanawi na maadili mema.
-
Rambirambi katika kumbukumbu ya kuaga dunia Imam Khomeini (MA) Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jun 03, 2021 22:25Leo Ijumaa tarehe 14 Khordad mwaka 1400 Hijria Shamsiya sawa na 23 Shawwal 1442 Hijria Qamariya sawa Juni 4 2021 inasadifiana na mwaka wa 32 tokea alipoaga dunia Imam Khomeini-Mwenyezi Mungu Amrehemu-Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rouhani: 15 Khordad ni siku ya kushindwa Marekani mbele ya fikra za Imam Khomeini
Jun 03, 2021 06:32Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa tarehe 15 Khordad imeonesha kuwa, utawala uliokuwa umejizatiti kwa silaha na kuwa tegemezi kwa Marekani haukuweza kusimama mbele ya fikra za hayati Imam Ruhullah Khomeini na hatimaye ulishindwa na kusambaratika.