-
Araqchi: Pande husika ndani ya JCPOA na Marekani zinapasa kuchukua maamuzi magumu
Jun 03, 2021 03:31Mkuu wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia amesema kuwa pande husika ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA na Wamarekani wanapasa kuchukua maamuzi magumu.
-
Wagombea urais nchini Iran kushiriki katika midahalo mitatu
Jun 02, 2021 23:45Tume ya Kampeni za Uchaguzi za Wagombea Urais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa midahalo mitatu itayowashirikisha wagombea wote saba itafanyika katika kipindi cha siku chache zijazo.
-
Zarif: Wananchi wa Iran leo wanasimama kwa heshima licha ya vizingiti vingi
Jun 02, 2021 23:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema lichqa ya kuwepo aina mbalimbali za njama za madola makubwa ya kibeberu, wananchi wa Iran hii leo wanasimama kidete na kwa heshima.
-
Rais Rouhani: Masanduku ya kura na uchaguzi ni matunda muhimu ya Mapinduzi ya Kiislamu
Jun 02, 2021 07:50Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, masanduku ya kupigia kura ni miongoni mwa matokeo na matunda muhimu ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran yaliyouondoa madarakani utawala wa kifalme na kidhalimu.
-
Mkutano wa Kimataifa wa Mitazamo ya Kisiasa ya Imam Khomeini kufanyika leo Tehran
Jun 01, 2021 22:03Mkutano wa Kimataifa unaochunguza mitazamo ya kisiasa ya Imam Ruhullah Khomeini: Mfumo wa kimataifa na Masuala ya Ulimwengu wa Kiislamu unafanyika leo kupitia njia ya mtandao.
-
Jibu la Iran kwa madai ya ripoti mpya ya IAEA; sisitizo la kulindwa haki za nyuklia
Jun 01, 2021 08:31Ripoti ya hivi karibuni ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), ambayo baadhi ya vipengee vyake vilichapishwa katika vyombo vya habari vya kimataifa Jumatatu inasema: "Baada ya Februari 23 2021, IAEA haikuweza kupata faili za ripoti zilizokusanywa na vifaa vyake vya ukaguzi nchini Iran."
-
Iran kuongeza uzalishaji wa mafuta hadi mapipa milioni 6.5 kwa siku
Jun 01, 2021 03:33Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili limeazimia kuongeza kiwango cha uzalishaji wa mafuta yake.
-
Chanjo ya COVID-19 iliyotengenezwa Iran kuanza kutumika rasmi wiki ijayo
May 31, 2021 08:54Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa chanjo ya COVID-19 iliyotengenezwa hapa nchini itaanza kutumika rasmi wiki ijayo ambapo wananchi wa matabaka mbalimbali watapewa chanjo hiyo.
-
Khatibzadeh: Maafa ya kibinadamu yamejiri Canada baada kaburi la umati la watoto kugunduliwa
May 31, 2021 08:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria taarifa za hivi karibuni kuhusu kupatikana kaburi la umati la wakazi asilia wa Canada na kusema maafa makubwa ya kibinadamu yalijiri katika historia ya nchi hiyo ya Amerika kaskazini.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Makombora ya Wapalestina yatabaki kuwa jinamizi kwa Israel
May 30, 2021 22:21Waziri wa ulinzi wa Iran anasema makombora na ndege zisizo na rubani za Palestina zitaendelea kuwa jinamizi walowezi haramu wa Israeli katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu kufuatia uvamizi wa utawala haramu wa Israel ulioshindwa hivi karibuni katika vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza