-
Nchi saba zimetangaza azma ya kununua chanjo ya COVID-19 ya Iran
May 30, 2021 22:12Nchi saba duniani zimetangaza nia ya kununua chanjo ya virusi vya corona ya Iran inalojulikana kwa jina la 'COV-Iran Barakat'
-
Mkutano wa uratibu wa uchaguzi wa 13 wa urais wa Iran nje ya nchi
May 30, 2021 22:09Mkutano wa uratibu wa Makao Makuu ya Uchaguzi wa Ughaibuni wa uchaguzi wa urais wa 13 wa Iran umefanyika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran.
-
Kamanda Salami: Zama za kupiga na kukimbia zimekwisha
May 30, 2021 03:44Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (Sepah) ameashiria kuongezeka nguvu ya Palestina na kusisitiza kuwa zama za piga na kukimbia zimekwisha.
-
Brigedia Jenerali Qaani: Wazayuni waondoke mara moja katika ardhi za Wapalestina
May 29, 2021 08:02Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema wakati umefika kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuondoka katika ardhi za Wapalestina unaozikalia kwa mabavu haraka iwezekanavyo.
-
Rais Rouhani: Maambukizi na vifo vya wagonjwa wa corona vimepungua Iran
May 29, 2021 04:29Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hatua zilizochukuliwa na serikali zimepelekea kupungua maambukizi ya virusi corona na idadi ya watu wanaoaga dunia kila siku kutokana na ugonjwa wa COVID-19 hapa nchini.
-
Rais Rouhani: Tunatumai uhusiano wetu na Ethiopia utaimarika zaidi
May 28, 2021 08:17Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema anatumai kuwa uhusiano wa pande mbili wa nchi hii na Ethiopia utaboreka na kuimarika zaidi.
-
Mwanachuoni wa Kisunni Iran aasa ushiriki mkubwa katika uchaguzi wa rais
May 28, 2021 07:55Mwanachuoni mmoja wa Kisunni ambaye pia ni Imam wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Iranshar, ulioko katika mkoa wa Sistan na Baluchestan, kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi ujao wa rais hapa nchini.
-
Iran: Kinga ya kutoshitakiwa viongozi wa Israel barani Ulaya haipaswi kuendelea
May 27, 2021 22:18Ofisi ya Uwakilishi ya Iran katika Umoja wa Ulaya imetuma ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter na kusema kuwa, kinga ya kutoshitakiwa viongozi wa Israel wanaotenda jinai kubwa za kinyama dhidi ya watu wasio na hatia, haipaswi kuachiwa iendelee.
-
Kiongozi Muadhamu: Iwapo wagombea urais watawakinaisha wananchi, ushiriki wao katika uchaguzi utakuwa mkubwa
May 27, 2021 07:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewataka wananchi wa Iran wapuuze ushawishi wa watu wanaojaribu kuwakatisha tamaa na wanaowaambia hakuna faida kushiriki katika uchaguzi. Amesema watu hao hawalipendi taifa la Iran. Anayelipenda taifa hawezi kuwazuia wananchi kutumia haki yao ya kuchagua viongozi wao.
-
Amir Abdolahian: Siri ya ushindi wa matawalia wa kambi ya muqawama, ni umoja
May 27, 2021 06:52Msaidizi Maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesisitiza kuwa, siri ya ushindi wa mfululizo wa kambi ya muqawama ni umoja na mshikamano wake.