-
Takht-Ravanchi: Himaya kwa makundi ya kigaidi nchini Syria inapaswa kukomeshwa
May 27, 2021 03:17Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuna ulazima wa kulindwa ardhi yote ya Syria na kusisitiza kuwa: Lazima tukomeshe kuwagawa magaidi baina ya magaidi wazuri na magaidi wabaya.
-
Maprofesa wa Iran wataka kuhitimishwa jinai za utawala wa Kizayuni
May 26, 2021 23:07Maprofesa wa Vyuo Vikuu vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wametoa mwito wa kuhitimishwa mara moja jinai zote zinazofanywa na wanajeshi wa utawala haramu wa Israel na walowezi wa Kizayuni dhidi wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Rais Rouhani asisitiza kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi Iran
May 26, 2021 06:11Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kufanyika vizuri uchaguzi ni jambo ambalo litadhamini uhalali wa mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran: Viongozi wa Israel lazima wapandishwe kizimbani kwa jinai zao
May 26, 2021 02:40Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, utawala wa Kizayuni umefanya jinai nyingi kubwa kimataifa katika mashambulio yake ya hivi karibun dhidi ya Wapalestina hivyo viongozi wa utawala huo lazima wapandishwe kizimbani.
-
Araqchi: Bado kuna maudhui muhimu hazijafikiwa makubaliano katika mazungumzo ya JCPOA
May 26, 2021 02:39Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran usiku wa kuamika leo Jumatano na baada ya kumalizika kikao cha kamati ya pamoja ya JCPOA mjini Vienna Austria amesema kuwa, bado kuna maudhui muhimu hazijafikiwa makubaliano. Amesema, maadamu manufaa ya Iran hayajadhaminiwa, mazungumzo ya kufufua mapatano ya nyuklia ya JCPOA yataendelea.
-
Rais Rouhani: Njia pekee ya kukabiliana na wavamizi ni mapambano
May 25, 2021 22:19Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njia pekee ya kukabiliana na wavamizi, ni mapambano.
-
Zarif: Iran ni mshirika mwenye kuaminika wa Afrika
May 25, 2021 22:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kwa mnasaba wa Siku ya Afrika na kusema: "Iran daima itakuwa mshirika mwenye kuaminika wa marafiki wote Afrika".
-
Majina ya wagombea urais nchini Iran, yatajwa
May 25, 2021 06:36Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetaja majina ya wagombea wa urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao wa Juni humu nchini.
-
Rais Rouhani atoa mkono wa pongezi kufuatia maadhimisho ya kukombolewa kusini mwa Lebanon
May 25, 2021 03:38Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono wa pongezi kufuatia kuwadia maadhimisho ya kukombolewa eneo la kusini mwa Lebanon.
-
Safavi: Ushindi wa taifa la Palestina ni matunda ya chuo cha muqawama
May 24, 2021 22:00Msaidizi na Mshauri Mkuu wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, ushindi wa Wapalestina dhidi ya utawala wa Kizayuni katika vita vya siku 12 vilivyomalizika hivi karibuni, ni matunda ya chuo cha muqawama kilichoimari katika vita vya miaka minane vya kujihami kutakatifu taifa la Iran.