-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa mnasaba wa Siku ya Jeshi nchini Iran
Apr 17, 2021 08:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe maalumu kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Jeshi nchini Iran na kusisitiza kuwa, jeshi liko imara katika medani kwa ajili ya kutekeleza vizuri majukumu yake.
-
Rais Rouhani: Serikali inafanya juhudi zake zote kuhakikisha chanjo ya corona inazlishwa Iran
Apr 17, 2021 08:06Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, serikali yake inafanya juhudi zake zote kuhakikisha kuwa, chanjo ya corona ya Iran inazalishwa humu nchini.
-
Picha ya aliyefanya uharibifu katika kituo cha nyuklia cha Iran, yasambazwa + Video
Apr 17, 2021 08:04Wizara ya Masuala ya Kijasusi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesambaza picha ya aliyefanya uharibifu katika kituo cha nyuklia cha Natanz hivi karibuni humu nchini.
-
Iran yajibu matamshi ya kuingilia masuala yake ya ndani yaliyotolewa na Arab League na GCC
Apr 16, 2021 22:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameiasa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na Baraza la Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi (P) GCC badala ya kuungana na utawala wa Kizayuni wa Israel katika kutoa tuhuma kila mara dhidi ya Iran zielekeze macho yao kwa shughuli za kijeshi za nyuklia na zilizo kinyume na sheria zinazofanywa na utawala huo.
-
Iran yazidisha kasi katika mipango ya kuunda chanjo ya corona ndani ya nchi
Apr 16, 2021 07:38Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran imezidisha kasi katika utengenezaji wa chanjo ya kukabiliana na virusi vya corona.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu mazungumzo ya nyuklia; sharti la Iran, msingi wa kuhuishwa JCPOA
Apr 15, 2021 23:05Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, siasa za Iran kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ziko wazi, na maafisa wanaoshiriki kwenye mazungumzo ya kuhuishwa makubaliano hayo wanapaswa kuwa macho ili yasirefushwe kupita kiasi, suala ambalo lina madhara kwa taifa.
-
Admeri Khanzadi: Adui hana ubavu wa kuhujumu maji ya Iran
Apr 15, 2021 23:04Kamanda wa Jeshi Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maadui hawana ubavu wala uthubutu wa kuhujumu maji ya taifa hili.
-
Rais Rouhani: Kuwa na uhusiano na Uturuki kuna umuhimu mkubwa kwa Iran
Apr 15, 2021 03:48Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uhusiano wa kidugu na wa kushibamana na Uturuki ikiwa nchi jirani na ya Kiislamu ni jambo lenye umuhimu mkubwa kwa Tehran.
-
Iran yalalamikia ukiukwaji wa haki za Wairani barani Ulaya
Apr 14, 2021 22:51Iran imelalamikia vikali ukiukwaji wa haki za Wairani katika nchi za Umoja wa Ulaya na imetangaza kumteua ripota maalumu wa kuchunguza hali mbaya ya wafungwa Wairani katika magereza ya Ulaya.
-
Iran yawasilisha malalamiko kwa IAEA kuhusu ugaidi wa kinyuklia
Apr 14, 2021 22:47Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imewasilisha malalamiko rasmi kwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuhusu tukio la kigaidi katika mfumo wa usambazaji umeme wa kituo cha urutubishaji urani cha Natanz hapa nchini.