-
Vipimo zaidi ya milioni 10 vya corona vimefanyika kote Iran
Feb 14, 2021 09:37Wizara ya Afya nchini Iran imesema hadi sasa kumefanyika vipimo milioni 10,048,871 vya corona au COVID-19 kote nchini Iran.
-
Jenerali Salami: Sanaa ya IRGC ni kuyavunja madola ya kiistikbari
Feb 14, 2021 04:16Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema kazi kubwa ya jeshi la SEPAH ni kuyavunja na kuyasambaratisha madola ya kiistikbari.
-
Sisitizo la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu matakwa yake ya kisheria katika fremu ya JCPOA
Feb 13, 2021 23:03Marekani na Ulaya ambazo zimeyafikisha ukingoni mapatano ya JCPOA kwa kutotekeleza ahadi na majukumu yao, hivi sasa zinajaribu kila ziwezalo kuishawishi Iran kuketi kwenye meza ya mazungumzo ili kufikia eti mapatano mapya kupitia yale ziliyoyakiuka.
-
Araqchi: JCPOA haina maana yoyote iwapo vikwazo dhidi ya Iran havitaondolewa
Feb 13, 2021 05:10Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema makubaliano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA hayatakuwa na maana wala thamani yoyote iwapo vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu havitaondolewa.
-
Rouhani: Kuielewa Qurani Tukufu, ndio ufunguo wa kuongoka vijana
Feb 13, 2021 07:51Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuyaelewa mafundisho sahihi ya Qurani Tukufu ndio ufunguo wa kuongoka katika njia iliyonyooka tabaka la vijana.
-
Zarif ajibu porojo la troika ya EU kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Feb 12, 2021 23:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa msimamo wa nchi tatu za Ulaya wanachama wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kuhusiana na Iran.
-
Wasomi wa Iran na Russia: Ubeberu wa Marekani unaelekea ukingoni
Feb 12, 2021 08:48Kundi la wasomi na wanafikra wa Russia na Iran walioshiriki katika mkutano uliopewa anwani ya "Kuporomoka Marekani, Taathira za Mapinduzi ya Kiislamu katika Kanda ya Asia na Duniani", wamechunguza taathira za Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ulimwenguni na kusisitiza kwa pamoja kwamba, umri wa ubeberu wa Marekani unaelekea ukingoni na mwenendo wa kuporomoka kwake umefikia katika nukta ya kutorejea nyuma.
-
Iran yaipongeza Qatar kwa kufanya juhudi za kutatua migogoro ya eneo hili kwa mazungumzo
Feb 12, 2021 04:13Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Doha, Qatar ameipongeza nchi hiyo kwa kufanya juhudi za kuanzisha mchakato wa kieneo wa kutatua migogoro ya eneo hili.
-
Iran: Ni Marekani ndiyo iliyojitoa katika JCPOA na ndiyo yenye wajibu wa kurejea
Feb 11, 2021 23:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kusisitiza tena kwamba ni Marekani ndiyo iliyojitoa katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA na ndiyo yenye wajibu wa kuchukua hatua za kwanza za kurejea kwenye makubaliano hayo, amesema, serikali ya Biden huko Marekani bado haijajua ifuate siasa zipi wakati siasa za Iran ziko wazi kabisa.
-
Mapinduzi ya Kiislamu; chimbuko la mwamko katika Ulimwengu wa Kiislamu
Feb 11, 2021 23:08Jumatano ya juzi tarehe 10 Februari ilisadifiana na kuanza mwaka wa 43 uhai wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.