-
Kiongozi Muadhamu: Sharti la Iran la kurejea katika ahadi zake za JCPOA ni Marekani kuondoa vikwazo kivitendo
Feb 07, 2021 08:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Iran itarejea katika ahadi zake za makubaliano ya nyuklia ya JCPOA pale Marekani itakapoliondolea taifa hili vikwazo vyake vyote tena kivitendo na sio kwa maneno matupu au katika makaratasi tu.
-
Takwimu za corona Iran: Watu 57 waaga dunia katika kipindi cha saa 24 zilizopita
Feb 07, 2021 08:21Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema kuwa, zaidi ya wagonjwa milioni 1 na laki 2 na 53 elfu wa COVID-19 wamepata afueni nchini Iran.
-
Iran yasafirisha kwa wingi matrekta katika nchi za Afrika, Asia
Feb 07, 2021 04:10Afisa Mkuu Mtendaji wa Shirika la Kuzalisha Matrekta la Iran amesema nchi hii imeanza kuuza kwa wingi tingatinga katika nchi za Afrika, Asia na Amerika ya Latini.
-
Iran yazindua kiwanda cha kuunda makombora ya kubebwa begani + Video
Feb 06, 2021 23:34Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezindua kiwanda cha kuunda makombora ya kisasa yanayovurumishwa kutoka begani ikiwa ni katika hatua nyingine ya kuimarisha uwezo wake wa kujihami.
-
Iran yakaribisha uundwaji wa serikali ya mpito Libya
Feb 06, 2021 23:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekaribisha uundwaji wa serikali ya mpito nchini Libya.
-
Chanjo ya corona kuanza kutolewa wiki hii nchini Iran
Feb 06, 2021 08:10Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa chanjo ya corona itaanza kutolewa wiki hii hapa nchini kwa kuzingatia vipaumbele vilivyoainishwa na Wizara ya Afya.
-
Hatami: Kombora la Zoljanah la kubeba satalaiti linaonesha nguvu za kielimu za Iran
Feb 06, 2021 04:11Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuwa, kombora la Zoljanah la kubeba satalaiti ni mfano wa wazi wa jitihada za vijana wasomi wa Iran ya Kiislamu ambao wameweza kuwathibitishia walimwengu uwezo mkubwa wa kielimu wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
'Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mfano wa kuigwa wa mshikamano baina ya dini za mbinguni'
Feb 05, 2021 04:32Askofu Mkuu wa Kanisa la Mashariki la Wakristo Waashuru wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ni mfano hai wa kuigwa wa mshikamano na umoja wa wafuasi wa dini za mbinguni.
-
Meja Jenerali Salami: Adui hawezi kuvumilia kuona Iran inastawi
Feb 04, 2021 23:23Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanahamaki na kushindwa kuvumilia hatua za maendeleo na ustawi zinazopigwa na taifa hili.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kutukuzwa na kuheshimiwa hadhi na mchango wa wanawake katika Uislamu na mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu
Feb 04, 2021 23:17Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria tofauti za kimsingi za mtazamo wa Uislamu na ulimwengu wa Magharibi kwa mwanamke na kusema, Uislamu na Jamhuri ya Kiislamu vinamtazama mwanamke kwa jicho la heshima ilihali mtazamo ulioenea Magharibi kuhusu mwanamke ni wa kumtazama kiumbe huyu kama bidhaa na wenzo.