-
'Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mfano wa kuigwa wa mshikamano baina ya dini za mbinguni'
Feb 05, 2021 04:32Askofu Mkuu wa Kanisa la Mashariki la Wakristo Waashuru wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ni mfano hai wa kuigwa wa mshikamano na umoja wa wafuasi wa dini za mbinguni.
-
Meja Jenerali Salami: Adui hawezi kuvumilia kuona Iran inastawi
Feb 04, 2021 23:23Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanahamaki na kushindwa kuvumilia hatua za maendeleo na ustawi zinazopigwa na taifa hili.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kutukuzwa na kuheshimiwa hadhi na mchango wa wanawake katika Uislamu na mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu
Feb 04, 2021 23:17Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria tofauti za kimsingi za mtazamo wa Uislamu na ulimwengu wa Magharibi kwa mwanamke na kusema, Uislamu na Jamhuri ya Kiislamu vinamtazama mwanamke kwa jicho la heshima ilihali mtazamo ulioenea Magharibi kuhusu mwanamke ni wa kumtazama kiumbe huyu kama bidhaa na wenzo.
-
Shehena ya kwanza ya chanjo ya Covid-19 ya Russia yawasili Iran
Feb 04, 2021 10:45Shehena ya kwanza ya chanjo ya kukabiliana na virusi vya corona ya Sputnik V ya Russia imewasili hapa nchini Iran leo Alkhamisi.
-
Rais Rouhani: Kwa mara nyingine tena, Iran imeipiga mweleka Marekani
Feb 04, 2021 09:25Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ya kukataa pingamizi la Marekani kuhusu mashataka ya Tehran dhidi yake, ni ushindi mwingine kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Misimamo ya Iran katika JCPOA; sisitizo la ulazima wa Marekani kurejea katika ahadi zake
Feb 04, 2021 05:47Kitendo cha Marekani cha kujitoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kilikiuka dhahir shahir makubaliano hayo ya kimataifa, hivyo basi Washington inapaswa kurejea katika ahadi ilizojifunga nazo kwa mujibu wa makubaliano hayo.
-
"Shahidi Qassem Suleimani aliugeuza muqawama kuwa harakati ya ulimwengu mzima"
Feb 04, 2021 00:57Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, shahidi kamanda Qassem Suleimani aliugeuza muqawama kuwa harakati ya ulimwengu mzima.
-
Ustawi wa Kisayansi wa Iran katika uga wa anga za mbali; jibu erevu kwa vikwazo vya Marekani
Feb 03, 2021 23:13Siku ya Jumatatu, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilirusha kwa mafanikio katika anga za mbali kombora la kubeba sataliti ambalo limepewa jina la Zuljanah.
-
Ayatullah Khamenei: Uislamu na Jamhuri ya Kiislamu vinamtazama mwanamke kwa jicho la heshima
Feb 03, 2021 07:52Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria tofauti za kimsingi za mtazamo wa Uislamu na ulimwengu wa Magharibi mwa mwanamke na kusema kuwa,Uislamu na Jamhuri ya Kiislamu vinamtazama mwanamke kwa jicho la heshima ilihali mtazamo ulionea Magharibi kuhusu mwanamke ni wa kumtazama kiumbe huyu kama bidhaa na wenzo.
-
Zarif: Kutimuliwa majeshi ya Marekani ni jibu bora kabisa kwa jinai dhidi ya Hajj Qassem Soleimani
Feb 03, 2021 07:12Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuhitimishwa uwepo wa majeshi ya Marekani katika eneo ni jibu bora kabisa kwa hatua ya kigaidi ya kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassim Suleimani.