-
Mazoezi makubwa ya ndege zisizo na rubani ya Iran na uwezo wa kujilinda
Jan 06, 2021 23:04Mazoezi makubwa ya ndege zisizo na rubani (drone) ya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ni kielelezo cha utayarifu kamili wa vikosi vya ulinzi kwa ajili ya kukabiliana na aina yoyote ya vitisho vinavyolenga usalama na amani ya nchi hii.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Ushahidi unaonesha kuwa Israel ilimuua shahidi Fakhrizadeh
Jan 06, 2021 12:27Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuna ushahidi wa kutosha na wenye mashiko unaoonesha kuwa utawala haramu wa Israel ulihusika na mauaji ya kigaidi dhidi ya mwanasayansi bingwa wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu, Mohsen Fakhrizadeh.
-
Rais Rouhani: Kama Biden atatekeleza ahadi zake, basi majibu ya Iran ni rahisi kabisa
Jan 06, 2021 09:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia kuingia madarakani serikali ya Joe Biden huko Marekani karibuni hivi na kusema kuwa, kama Biden atatekeleza ahadi zake basi majibu ya Iran yako wazi na ni mepesi kabisa.
-
Brigedia Jenerali Ghaani: Wanafunzi wa Hajj Qasem watawatimua Wamarekani katika eneo hili
Jan 06, 2021 08:58Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesisitiza kuwa, kambi ya muqawama inazidi kuwa imara siku baada ya siku na kuongeza kuwa, wanafunzi wa chuo cha shahid Soleimani watawatimua Wamarekani katika eneo hili.
-
Iran yafanya mazoezi makubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani
Jan 06, 2021 04:43Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran linafanya mazoezi makubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani au drone.
-
Iran kuzalisha kilo 9 za urani iliyorutubishwa kwa 20% kwa mwezi
Jan 06, 2021 01:12Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) Ali Akbar Salehi amesema kuanzia sasa Jamhuri ya Kiislamu itakuwa inazalisha kilo tisa za urani iliyorutubishwa kwa kiwango cha asilimia 20 kila mwezi.
-
Rais Saleh: Jenerali Suleimani alisimama bega kwa bega na taifa la Iraq
Jan 06, 2021 01:11Rais Barham Saleh wa Iraq amesema Shahidi Qassem Suleimani, aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC alisimama bega kwa bega na wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu katika vipindi vyote vya matatizo na misukosuko.
-
Iran imepata mafanikio ya kipekee katika uzalishaji droni + Video
Jan 05, 2021 09:01Kamanda wa kikosi cha nchi kavu cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kikosi hicho kimepata mafanikio makubwa na ya kipekee katika uzalishaji na utumiaji wa droni yaani ndege zisizo na rubani.
-
Spika wa Bunge: Kurutubisha urani kwa 20% kutahuisha nafasi imara ya Iran katika kukabiliana na wavunja makubaliano
Jan 05, 2021 04:46Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuanza urutubishaji wa urani kwa asilimia 20 kutahuisha nafasi imara na madhubuti ya Iran katika kukabiliana na wavunja makubaliano na kuugharimu uvunjaji wa sheria.
-
Qalibaf: Mauaji ya kigaidi ya Kamanda Soleimani ni ugaidi wa kiserikali ulioratibiwa
Jan 04, 2021 23:00Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani yaliyofanywa na Marekani ni ugaidi wa kiserikali ulioratibiwa, ni kukiuka waziwazi mamlaka ya kitaifa na kujitawala Iraq na kukiuka mamlaka ya Jamhuri ya Kiislamu uya Iran.