-
Jeshi la Iran: Kombora la Khorramshahr lenye masafa ya kilomita 2000 lina ‘nguvu ya uharibifu isiyo ya kawaida’
Feb 06, 2026 23:40Naibu kamanda wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) anayesimamia masuala ya kisiasa amesema kuwa kuoneshwa hivi karibuni kwa kombora la kisasa la masafa marefu lenye “nguvu ya uharibifu isiyo ya kawaida” ni kielelezo cha msimamo imara wa Iran wa kudumisha uwezo wake wa kujilinda.
-
Abbas Araqchi: Mazungumzo ya Muscat yamekuwa na mwanzo mzuri
Feb 06, 2026 12:05Sayyid Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya nje wa Iran amesema kuwa, mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja na Marekani huko Muscat Oman yamekuwa na mwanzo mzuri, huku hatua za baadaye zikitegemea mashauriano katika miji mikuu.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Mapinduzi ya Kiislamu yameitoa Iran kwenye utumwa wa Marekani
Feb 06, 2026 07:53Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amezungumzia maadhimisho ya miaka 47 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kubainisha kwamba: "katika kipindi hiki, zimefanyika kazi kubwa na adhimu na zimetolewa huduma nyingi ambazo maneno hayatoshi kuzielezea.
-
Araghchi: Iran inaingia kwenye mazungumzo 'ikiwa makini'
Feb 06, 2026 03:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesema Tehran inaingia katika duru mpya ya mazungmzo ya kidiplomasia na Marekani ikiwa hadhiri, makini kabisa na "kwa macho yaliyo wazi."
-
Meja Jenerali Mousavi: Tumeimarisha uwezo wa makombora yetu
Feb 05, 2026 23:26Afisa mwandamizi wa Jeshi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imeimarisha mifumo yake ya kujilinda kwa kuboresha makombora ya balestiki yaliyotengenezwa ndani ya nchi.
-
Russia: Tunataraji Marekani itatumia akili na busara kuhusiana na kadhia ya Iran
Feb 05, 2026 08:11Vassily Nebenzya, mwakilishi wa kudumu Russia katika Umoja wa Mataifa amesem kuwa, Moscow inatumai kwamba Marekani itatumia akili na busara kuhusiana na kadhia ya Iran.
-
Araghchi: Iran, US kufanya mazungumzo ya nyuklia Muscat
Feb 04, 2026 23:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi ametangaza kwamba mazungumzo ya nyuklia kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani yanatazamiwa kufanyika katika mji mkuu wa Oman, Muscat kesho asubuhi.
-
Waziri wa Usalama wa Iran aonya Magharibi kuhusu madhara ya kudai IRGC ni kundi la kigaidi
Feb 04, 2026 23:06Waziri wa Usalama wa Iran, Esmail Khatib, ameonya kuwa nchi za Magharibi zitakumbana na madhara ya hatua yao ya kulitaja Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kuwa eti ni shirika la kigaidi.
-
Wafuasi wa Imam Mahdi wakusanyika Jamkaran kuonesha imani na tumaini siku ya Nisf Sha’ban
Feb 04, 2026 10:36Maelfu ya waumini na wafuasi wa Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake) wamekusanyika katika Msikiti mtukufu wa Jamkaran, mjini Qom, katika siku tukufu za mwezi wa Sha’ban, na kugeuza eneo hilo kuwa ishara yenye nguvu ya imani, mshikamano, na matarajio yenye matumaini kwa mustakabali.
-
Jalali: Madai ya Trump kwamba anawaunga mkono Wairani hayana msingi
Feb 04, 2026 07:25Balozi wa Iran nchini Russia, Kazem Jalali amepuuzilia mbali matamshi ya hivi karibuni ya Rais wa Marekani Donald Trump akidai kuwa analiunga mkono na kulisaidia taifa la Iran, akisisitiza kuwa madai hayo hayana msingi wowote.