-
Khatibzadeh: Ajenda ya leo ya Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA ni kuchunguza mchakato wa utekelezaji wa majukumu
Dec 16, 2020 04:17Msemaji wa Wizara ya Mambo yaNje ya Iran Saeed Khatibzadeh ameeleza kuwa, Kikao cha Kamisheni ya Pamoja ya Mapatano ya JCPOA ni kati ya vikao vya kawaida vya kuchunguza mchakato wa utekelezaji wa mapatano ya JCPOA na masuala yanayozikwamisha pande nyingine husika za mapatano kutekeleza ahadi na majukumu yao.
-
Rais Rouhani: Mlioiwekea vikwazo Iran, pelekeni siasa zenu ghalati katika kapu la historia
Dec 15, 2020 23:44Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wale wote wanaofanya njama za kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu kwa siasa kama za vikwazo, wanapaswa wasahau kabisa misimamo na siasa zao ghalati zilizoshindwa, na wazitupe katika kapu la historia.
-
Rais Rouhani: Iran iko tayari kuipatia Uganda uzoefu wake wa kielimu na kiufundi
Dec 15, 2020 08:13Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kuipatia Uganda uzoefu wake wa kielimu na kiufundi katika nyanja mbalimbali.
-
Mielekeo ya pande kadhaa na kukuza uhusiano wenye mlingano; mhimili wa sera za kigeni za Iran
Dec 15, 2020 07:18Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ikifuatilia kwa dhati suala la kuwa na uhusiano mzuri na bora na majirani zake, na kwa msingi huo imekuwa ikilipa kipaumbele katika sera zake za kigeni suala la kustawisha na kukuza uhusiano wenye mlingano sambamba na kuimarisha mahusiano ya pande kadhaa.
-
Rais Rouhani: Vikwazo vya kidhulma dhidi ya Iran lazima vifutwe
Dec 14, 2020 11:32Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vya kidhulma dhidi ya Iran lazima vifutwe.
-
Zanganeh: Iran haihitaji idhini ya kurejea katika soko la mafuta
Dec 14, 2020 08:57Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Bijan Namdar Zangeneh amesema taifa hili halihitaji idhini yoyote kurejea katika soko la mafuta na kwamba lina uwezo wa kuuza mapipa milioni 2.3 ya mafuta kila siku.
-
Mwanga wa matumaini wa hati ya makubaliano ya pande kadhaa ya ‘Chabahar’
Dec 14, 2020 08:01Kutumia uwezo wa kieneo ni moja ya mbinu na njia za ushirikiano wa pande kadhaa ambazo zina nafasi muhimu sana katika kupanua ustawi na maendeleo.
-
Iran yalalamikia taarifa ya Ufaransa ya kumuunga mkono mhalifu aliyenyongwa
Dec 14, 2020 01:20Iran imemuita balozi wa Ufaransa mjini Tehran Philippe Thiebaud kulalamikia taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo ya Ulaya ambayo imelaani kutekelezwa hukumu ya kunyongwa Ruhullah Zam, aliyepatikana na hatia ya kusimamia mtandao uliokuwa ukiendesha propaganda chafu dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Bunge la Iran: Lugha za kufarakanisha za Erdogan zinashangaza na hazikubaliki
Dec 13, 2020 23:26Wawakilishi wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kusisitiza kwamba, wanategemea kutoka kwa Rais wa Uturuki ujirani mwema na kufanyika juhudi za kuweko umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu na uletaji amani na uthabiti katika eneo la Asia Magharibi na kutangaza kuwa, lugha za kufarakanisha za Erdogan zinashangaza na katu hazikubaliki.
-
Bunge la Iran laisisitizia EU haki ya Tehran ya kuwaadhibu waliomuua kigaidi Fakhrizadeh
Dec 13, 2020 05:53Mkuu wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, ni jambo lisilo na shaka hata kidogo kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haiwezi kuwasamehe magaidi waliojificha nje ya nchi hii ambao mara kwa mara wanafanya jinai dhidi ya wananchi wa Iran.