-
Iran na Uturuki zasisitiza kuimarisha ujirani mwema na wa kiudugu
Dec 13, 2020 04:08Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uturuki wametilia mkazo umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa kiudugu na ujirani mwema baina yao.
-
Kituo cha ulinzi wa anga: Hata uchokozi mdogo tu utakabiliwa na jibu na kipigo kikali cha Iran
Dec 12, 2020 22:18Naibu Mkuu wa Kituo cha Ulinzi wa Anga cha Khatamul-Anbiyaa amesisistiza kuwa kituo hicho cha ulinzi kitatoa jibu na kipigo kikali hata kwa uchokozi mdogo tu utakaofanywa dhidi ya anga ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Amir-Abdollahian: Kama watawala wa Kiarabu wameghafilika na Uislamu basi wafikirie japo maana ya ‘ghera ya Kiarabu’
Dec 12, 2020 07:53Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, hatua ya Morocco ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni usaliti na pigo la jambia dhidi ya mwili wa muqawama wa Palestina.
-
Vifo vya Covid-19 vyaendelea kupungua nchini Iran
Dec 12, 2020 07:50Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema kuwa, watu wengine zaidi ya elfu 8 wameambukizwa virusi vya corona na wengine 221 wamefariki dunia kwa Covid-19 katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
-
Kinara wa propaganda za ghasia anyongwa Iran
Dec 12, 2020 03:37Ruhullah Zam, kinara wa mtandao wa habari wa Amad News ambao ulikuwa unaeneza propagadna dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu amenyongwa kufuatia hukumu iliyotoelwa na mahakama.
-
Meja Jenerali Salami: Utawala wa Kizayuni utalipa gharama ya jinai yake dhidi ya shahidi Fakhrizadeh
Dec 11, 2020 23:58Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel na vibaraka wake bila shaka watalipa gharama ya jinai ya kumuua shahidi Mohsen Fakhrizadeh mwanasayansi bingwa wa nyukllia wa Iran na taifa hili litalipiza kisasi kikali cha mauaji hayo katika wakati mwafaka.
-
Khatibzadeh: Jamii ya kimataifa iwe macho mbele ya kuenea upya fikra za Daesh
Dec 11, 2020 10:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametuma pongezi kwa serikali ya wananchi wa Iraq katika maadhimisho yao ya mwaka wa tatu tangu kusambaratishwa genge la kigaidi na ukufurishaji la Desh (ISIS) nchini humo na kuitaka jamii ya kimataifa iwe macho mbele ya kuenea upya fikra za Kidaesh duniani.
-
Watu 232 wengine wafariki dunia kwa corona nchini Iran
Dec 11, 2020 09:54Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema kuwa, watu wengine zaidi ya elfu 9 wameambukizwa kirusi cha corona na wengine 232 wamefariki dunia katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita.
-
Kiongozi Muadhamu atuma salamu za rambirambi kufuatia kuaga dunia Ayatullah Muhammad Yazdi
Dec 10, 2020 04:26Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia Ayatullah Muhammad Yazdi ambaye alikuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Wasomi na Wahadhiri wa Chuo cha Kidini cha Qum
-
Rais Rouhani: Azma ya Iran ni kustawisha uhusiano wake na Azerbaijan
Dec 09, 2020 22:01Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uhusiano wa Tehran na Baku ni mzuri na wa kidugu na akaongeza kuwa, azma ya Iran ni kustawisha uhusiano wake na Azerbaijan.