-
Salehi: Marekebisho duniani leo yanahitaji kuhuishwa imani ya dini
Nov 11, 2020 23:19Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, njia pekee ya kuweza kuleta marekebisho ya kweli duniani leo hii ni kuhuishwa imani ya dini katika maana yake ya kina na pana.
-
Rais Ruouhani: Kudhamini amani ya eneo na kuheshimu haki za mataifa ni katika siasa thabiti za Iran
Nov 11, 2020 11:38Rais Hassan Rouhani amesema, kudhamini amani na uthabiti wa eneo, kuheshimu haki za mataifa, kutoingilia masuala ya ndani ya nchi zingine, kupambana na ugaidi, kuhitimisha mielekeo ya uchukuaji hatua za upande mmoja, kutekeleza makubaliano na kuwa na maelewano chanya ni miongoni mwa siasa na sera zisizobadilika za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran: Hatuogopi Trump akibaki wala hatutasisimuka Biden akiingia madarakani
Nov 11, 2020 04:23Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameashiria matukio ya sasa ya uchaguzi wa rais nchini Marekani na kusema: "Hatuogopi iwapo Trump atabakia na wala hatutasisimuka iwapo Biden ataingia madarakani. Tunachukua maamuzi kwa mujibu wa maslahi yetu."
-
Dakta Zarif: Hali ya ulimwengu wa Kiislamu ni wasiwasi wa pamoja wa Iran na Pakistan
Nov 11, 2020 01:08Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran na Islamabad zinafuatilia kwa unyeti maalumu hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kueleza kwamba, hali ya ulimwengu wa Kiislamu ni jambo la pamoja linalozitia wasiwasi Iran na Pakistan.
-
Safari ya Zarif nchini Pakistan; udharura wa kupanuliwa uhusiano na mashauriano ya kisiasa katika mazingira nyeti ya eneo
Nov 10, 2020 07:01Kustawishwa uhusiano na kisiasa na kiuchumi na majirani ni miongoni mwa mambo yanayopewa kipaumbele na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika sera zake za kigeni.
-
Kamanda: Iran haitaruhusu anga yake iwe sehemu ya kufanyia majaribio
Nov 10, 2020 03:58Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Khatamul Anbia cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezionya pande hasimu katika mgogoro wa Armenia na Jamhuri ya Azerbaijan dhidi ya kufanya kosa la kuhujumu anga ya nchi hii.
-
Rais Rouhani: Serikali mpya ya Marekani irekebishe sura yake mbaya katika mahusiano na nchi nyingine
Nov 10, 2020 08:28Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa serikali mpya ya Marekani inapaswa kufanya marekebisho katika mienendo yake isiyo ya kibinadamu na nchi nyingine za dunia.
-
Raisi: Iran imeazimia kuwafuatilia walioamuru na waliotekeleza mauaji ya kigaidi ya Kamanda Soleimani
Nov 09, 2020 08:42Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imedhamiria kwa dhati kutekeleza kwa uadilifu kwa wale wote walioamuru na waliotekeleza jinai ya kumuuwa kigaidi Kamanda Qassem Soleimani.
-
Khatibzadeh amjibu Pompeo, asema atatupwa katika kapu la taka la historia karibuni
Nov 09, 2020 04:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amejibu ujumbe wa Twitter uliotolewa na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani, Mike Pompeo akisema: Hivi karibuni Pompeo atatupiliwa mbali katika kapu la taka la historia, na taifa azizi la Iran litaendelea kusimama kidete na kwa fahari kubwa.
-
Zarif: Trump ameenda; sisi tumebakia na majirani zetu
Nov 09, 2020 01:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran kwa mara nyingine tena inatangaza kwamba iko tayari kushirikiana na nchi za eneo hili kwa ajili kulinda na kufanikisha manufaa ya pamoja.