-
Zarif: Trump ameenda; sisi tumebakia na majirani zetu
Nov 09, 2020 01:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran kwa mara nyingine tena inatangaza kwamba iko tayari kushirikiana na nchi za eneo hili kwa ajili kulinda na kufanikisha manufaa ya pamoja.
-
Ujumbe wa Twitter wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusiana na kushindwa Trump katika uchaguzi
Nov 08, 2020 09:19"Hali ilivyo ndani ya Marekani na yale wanayoyasema wao wenyewe kuhusu uchaguzi ni kioja!"
-
Rais Rouhani: Hata wananchi wa Marekani hawakusalimika na madhara ya siasa mbovu za Trump
Nov 08, 2020 08:07Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia matokeo ya uchaguzi wa rais nchini Marekani na kusema kuwa, madhara ya siasa mbovu na Donald Trump hayakuwafika wananchi wa mataifa mengine tu, bali hata wananchi wa Marekani hawakusalimika na madhara ya siasa hizo.
-
Makamu wa Rais wa Iran: Vituko vya Trump vimefika ukingoni
Nov 08, 2020 04:41Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran amesema zama za Rais Donald Trump wa Marekani na vituko vyake pamoja na timu yake inayopenda vita zimefika ukingoni.
-
Spika Qalibaf asisitiza nchi za eneo kushirikiana ili kuutokomeza ugaidi
Nov 07, 2020 23:07Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililolenga wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kabul nchini Afghanistan na kusisitizia ulazima wa nchi za eneo kushirikiana pamoja ili kuutokomeza ugaidi.
-
Rais Rouhani: Serikali ijayo ya Marekani inapaswa kusalimu amri mbele ya sheria na kanuni
Nov 07, 2020 07:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, walioliwekea vikwazo taifa hili walichagua njia isiyo sahihi na akasisitiza kwamba, serikali ijayo ya Marekani inapaswa kusalimu amri mbele ya sheria na kanuni.
-
Iran yatuma zana za kivita katika mpaka wa magharibi mwa nchi
Nov 06, 2020 07:09Jeshi la nchi kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetuma zana za kivita na wanajeshi katika ukanda wa mpaka wa Iran na Armenia na Jamhuri ya Azerbaijan.
-
Zarif: Ziara yangu Venezuela imekuwa na mafanikio makubwa
Nov 06, 2020 03:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter kuhusu ziara yake nchini Venezuela akiashiria jinsi ziara yake hiyo ilivyofanyika kwa ufanisi mkubwa.
-
Meja Jenerali Salami: Tutatoa majibu makali kwa vitisho vyovyote katika mipaka ya Iran
Nov 05, 2020 23:19Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, Iran iko imara kukabiliana vilivyo na vitisho vyovyote katika mipaka yake.
-
"Serikali ijayo ya Marekani haina budi kusalimu amri mbele ya Iran"
Nov 05, 2020 08:53Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema serikali ijayo ya Marekani haitakuwa na chaguo jingine ghairi ya kusalimu amri mkabala wa Jamhuri ya Kiislamu.