-
Ayatullah Akhtari: Kubakia nyuma kiuchumi ni natija ya kuanzisha uhusiano na Israel
Nov 05, 2020 04:47Mkuu wa Kamati ya Kuunga Mkono Mapinduzi ya Kiislamu ya Wananchi wa Palestina katika Ofsi ya Rais wa Iran amesema kuwa kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel hakuna jingine isipokuwa kukandamizwa na kubakia nyuma kiuchumi.
-
Iran yazindua mfumo mpya wa kuvurumisha makombora ya balestiki
Nov 04, 2020 08:39Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC limezindua mfumo erevu na wa kiotomatiki wa kuvurumisha makombora kadhaa ya balestiki ya masafa marefu kwa wakati mmoja.
-
Rouhani: Iran haijali ni nani ataibuka mshindi katika uchaguzi wa Marekani
Nov 04, 2020 08:06Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili halijalishwi wala kushughulishwa na ni nani atakayeibuka mshindi katika uchaguzi wa rais wa Marekani uliofanyika jana Jumanne.
-
Vita vya Nagorno-Karabakh kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Nov 04, 2020 06:07Kuendelea vita vya Armenia na Azerbaijan juu ya eneo la Nagorno-Karabakh kumeibua wasiwasi mkubwa katika eneo hilo.
-
Wahadhiri wa vyuo vikuu wa Iran walaani kuvunjiwa heshima Mtume (saw)
Nov 04, 2020 03:35Wahadhiri wa vyuo vikuu nchini Iran wametoa taarifa wakilaani vikali hatua ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ya kumvujia heshima Mtume Muhammad (saw).
-
Jeshi la Iran lasema halitaruhusu adui atekeleze hujuma
Nov 03, 2020 20:47Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa taarifa na kusema liko tayari kukabiliana na tishio lolote lile dhidi ya taifa la Iran na mfumo wa Kiislamu.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la udharura wa Umoja wa Kiiislamu na kusimama kidete mbele ya ubeberu
Nov 03, 2020 20:45“Siasa makini za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haziwezi kubadilika kwa kuingia na kuondoka madakani nchini Marekani kiongozi fulani”.
-
Kiongozi Muadhamu: Hasira ya Waislamu dhidi ya kuvunjiwa heshima Mtume (saw) ni ishara ya uhai wa Umma wa Kiislamu
Nov 03, 2020 08:31Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa hasira na malalamiko ya Waislamu kote duniani dhidi ya vitendo vinavyomvunjia heshima Mtume Muhammad (saw) ni ishara ya kuwa hai Umma wa Kiislamu.
-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi Vienna nchini Austria
Nov 03, 2020 06:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amelaani shambulizi la kigaidi lililotokea nchini Austria na kusema kuwa, kuna udharura wa kuwepo ushirikiano wa jamii ya kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na mizizi ya ugaidi.
-
Jahangiri: Kipaumbele cha nchi za Kiislamu ni kutetea thamani za Mtume Muhammad SAW
Nov 03, 2020 04:24Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kutetea thamani za Mtume Muhammad SAW kunapaswa kuwa kipaumbele cha kwanza katika nchi za Kiislamu duniani.