-
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu awapongeza Waislamu kwa mnasaba wa Maulidi ya Mtume (saw)
Nov 02, 2020 23:17Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe marais wa nchi za Kiislamu akiwapongeza kwa mnasaba wa kuadhimisha Maulidi na siku ya kuzaliwa Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu na Nabii wa rehma, upendo na amani, Muhammad (saw).
-
Khatibzadeh: Iran haina mzaha na yeyote juu ya suala la uwepo wa magaidi katika eneo
Nov 02, 2020 10:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria onyo ililotoa Tehran juu ya kuwepo magaidi katika mipaka ya kaskazini mwa nchi na akasisitiza kwamba, Jamhuri ya Kiislamu haina mzaha na wala haitamvumilia mtu yeyote juu ya suala hilo.
-
Wanazuoni na wahubiri wa Kiislamu wa Iran walaani kutusiwa Mtume Muhammad SAW
Nov 02, 2020 01:04Wanazuoni na wahubiri wa Kiislamu wa Vyuo Vikuu vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zaidi ya elfu mbili wamelaani vikali kitendo cha kutusiwa na kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad SAW nchini Ufaransa.
-
Zarif: Iran haistahamili uwepo wa magaidi karibu na mipaka yake
Nov 01, 2020 07:19Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ametahadharisha kuhusu suala la kuhamishiwa na kuwepo makundi ya kigaidi katika mgogoro wa Nagorno-Karabakh.
-
Kiongozi Muadhamu Kuhutubu kwa mnasaba wa Maulid ya Mtume Muhammad SAW
Nov 01, 2020 08:12Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei atahutubu kwa njia ya televisheni kwa mnasaba wa maadhimisho ya kukumbuka siku ya kuzaliwa (Maulid) Mtume Muhammad SAW na pia uzawa wa mjukuu wake, Imam Jaafar Swadiq AS.
-
Iran yatoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Uturuki kwa maafa ya zilzala ya Izmir
Oct 31, 2020 07:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono wa pole kwa serikali na wananhi wa Uturuki kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea jana Ijumaa katika eneo la Izmir na kutangaza kuwa Iran iko tayari kwa ajili ya misaada ya aina zote kwa waathiriwa wa janga hilo.
-
Nchi za Kiislamu ziunde komandi ya pamoja ya kutatua matatizo ya Waislamu
Oct 31, 2020 04:08Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu ametilia mkazo udharura wa kuundwa komandi kuu ya pamoja ya nchi za Kiislamu kwa ajili ya kutatua matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu.
-
Watu wengine 365 wafariki dunia kwa virusi vya corona nchini Iran
Oct 30, 2020 13:07Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema, watu wengine zaidi elfu nane wameambukizwa virusi vya corona na wengine 365 wamefariki dunia katika muda wa saa 24 zilizopita.
-
Zarif: Amani haiwezi kupatikana kwa kuchochea mataifa mengine
Oct 30, 2020 03:10Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, amani haiwezi kupatikana kupitia njia ya kuyachochea mataifa na wafuasi wa dini nyingine.
-
Spika Qalibaf: Kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel hakutadumu
Oct 29, 2020 08:48Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewahutubu baadhi ya watawala wa nchi za Kiislamu ambao wameanzisha uhusiano wa kawaiada na utawala haramu wa Israel na kusema kuwa, viongozi wa mataifa hayo wanapasa kutambua kwamba, hilo halitadumu lakini doa baya katika historia litabakia kwa jina lao mbele ya wananchi wa mataifa ya Kiislamu na watu huru duniani.