-
Zarif amwambia Donald Trump: Ni wakati wa kuamka
Sep 16, 2020 03:19Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amenusha propaganda chafu zinazofanywa na vyombo vya habari vya Magharibi kuhusu madai eti Iran inafanya mpango wa kumuua balozi Marekani nchini Afrika Kusini na kusema huu ni wakati wa kuamka.
-
Iran: Hakuna anayejali tena urongo wa vyombo vya intelijensia vya Marekani
Sep 15, 2020 22:09Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Afrika Kusini umetangaza kuwa, dunia bado haijasahu uongo wa vyombo vya intelijensia vya Marekani uliotumiwa kuanzisha vita dhidi ya Iraq.
-
Iran yamwambia Grossi: IAEA inapaswa kufanya kazi kwa kujitegemea bila ya kukubali mashinikizo ya kisiasa
Sep 15, 2020 07:02Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika Masuala ya Kisheria na Kimataifa amezungumzia ushirikiano mkubwa wa Tehran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) na kutilia mkazo umuhimu wa wakala huo kufanya kazi kwa kujitegemea mkabala wa mashinikizo ya baadhi ya nchi.
-
Zarif: Trump anawatumia watawala vibaraka wa Kiarabu kama chombo cha kampeni
Sep 15, 2020 03:42Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jitihada zinazofanywa na Rais Donald Trump wa Marekani za kuanzisha uhusiano wa kawaida baina ya utawala haramu wa Israel na nchi kadhaa za Kiarabu zinaashiria wazi kuwa mwanasiasa huyo wa chama cha Republican anataka kutumia hatua hiyo kama wenzo wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Novemba mwaka huu.
-
Wahadhiri wa vyuo vikuu Iran: Kuvunjia heshima matukufu ya kidini ni ugaidi wa kiutamaduni
Sep 14, 2020 22:08Wahadhiri wa vyuo vikuu nchini Iran wamewaandikia barua wahadhiri na wanafikra wa vyuo vikuu barani Ulaya wakisema kuwa kitendo cha jarida la Charlie Hebdo la Ufaransa cha kumvunjia heshima Mtume Muhammad (saw) ni maonyesho ya ugaidi wa kiutamaduni.
-
Hatua mpya ya Iran na China; kutiwa saini hati ya makubaliano ya kupanua ushirikiano wa kibiashara na kiviwanda
Sep 14, 2020 05:29Tukichunguza mwenendo wa uhusiano wa China na Iran tunaona ukweli huu kwamba, hii leo Beijing ni mshirika mkubwa zaidi wa kibiashara wa Tehran kama ambavyo taifa hili la Kiislamu nalo ni mshirika mkubwa zaidi wa kistratejia wa China katika eneo hili.
-
Iran: Mgogoro wa Afghanistan hauwezi kutatuliwa kijeshi
Sep 14, 2020 03:28Mshauri wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hakuna ufumbuzi wa kijeshi katika mgogoro wa Afghanistan.
-
Dkt. Velayati: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel ni khiyana kwa wananchi wa Palestina
Sep 13, 2020 22:11Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu amelaani hatua ya Bahrain ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, hatua hiyo ni upuuzaji na khiyana kwa malengo ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Rais Rouhani: Marekani imeshindwa vibaya katika njama zake dhidi ya Iran
Sep 13, 2020 08:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua haribifu za Marekani dhidi ya uchumi wa Iran na kusema kuwa, adui siyo tu kwamba, ameshindwa kufikia malengo yake ya kistratejia, bali amepata pigo lisilo na kifani katika uwanja huo.
-
Amir-Abdollahian: Hatua ya Bahrain ya kuanzisha uhusiano na Israel ni ‘khiyana kubwa’
Sep 12, 2020 21:53Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatua ya Bahrain ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni ‘khiyana kubwa’ kwa kadhia nzima ya juhudi za kuukomboa mji wa Quds toka katika makucha ya Wazayuni.