-
Mousavi: Troika ya Ulaya haina mwamana hata chembe
Jun 20, 2020 07:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezungumzia vitendo vya kindumilakuwili vya nchi tatu za Ulaya yaani Troika ya Ulaya zilizomo kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA ambazo ni Uingereza, Ujerumani na Ufaransa na kusema kuwa, kitendo cha nchi hizo cha kuishinikiza Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kutoa azimio la kisiasa dhidi ya Iran hakikubaliki kabisa.
-
Iran ni katika nchi 10 zinazopokea idadi kubwa ya wakimbizi na wahajiri duniani
Jun 20, 2020 03:07Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni katika nchi kumi zinazopokea idadi kubwa zaidi ya wakimbizi na wahajiri duniani.
-
Iran yapinga azimio la Bodi ya Magavana ya IAEA
Jun 19, 2020 23:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa hatua ya Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuandamana na Marekani katika azimio dhidi ya Iran ambalo limepasishwa katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Kazem Gharib Abadi: Iran itachukua hatua mwafaka kufuatia kupasishwa azimio dhidi yake na Bodi ya Magavana wa IAEA
Jun 19, 2020 07:43Kazem Gharib Abadi, balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika asasi za kimataifa zenye makao yake mjini Vienna Austria amesema kuwa, Iran itachukua hatua mwafaka kufuatia kupasishwa azimio dhidi yake na Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Indhari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kwa nchi za Ulaya kuhusiana na JCPOA
Jun 19, 2020 07:21Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran imefanywa kisingizio na nchi tatu za Ulaya zilizomo kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA cha kukitumia katika Baraza la Magavana la wakala huo.
-
Zarif: Nchi tatu za Ulaya zisishiriki katika jinai zinazofanywa na maadui wa JCPOA
Jun 19, 2020 03:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameutaka Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki usiwaruhusu maadui wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kuhatarisha maslahi ya Iran na kushirikiana nao.
-
Iran yafanyia majaribio makombora mapya ya cruise
Jun 18, 2020 14:01Jeshi la Baharini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limefanyia majaribio kwa mafanikio makombora yake mapya ya cruise katika luteka ya kijeshi iliyofanyika kaskazini mwa Bahari ya Hindi na katika Bahari ya Oman.
-
Iran: Tutaendelea kuliunga mkono taifa la Syria, muqawama
Jun 18, 2020 12:33Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuliunga mkono na kusimama na taifa la Syria pamoja na kambi ya muqawama katika eneo.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Wakati umefika wa kuiwajibisha Marekani kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu
Jun 18, 2020 06:59Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeashiria maandamano ya raia wa Marekani ya kupinga ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa, umewadia wakati wa dunia kuiwajibisha Marekani kuhusu ukiukwaji wake wa haki za binadamu ndani na nje ya nchi hiyo.
-
Iran: Badala ya kuwa na wasi wasi usio na msingi, Troika ya Ulaya itekeleze ahadi zake JCPOA
Jun 17, 2020 22:58Mkuu wa Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa taarifa ya Troika ya Ulaya, yaani Ujerumani, Uingereza na Ufaransa, kuhusu mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na shughuli za nyuklia za Iran zenye malengo ya amani.