-
Mousavi: Marekani na Saudia zinadhihaki mfumo wa kimataifa
Jun 17, 2020 06:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vikali namna Umoja wa Mataifa unavyoshawishiwa vibaya na kusema: "Saudi Arabia kwa kutumia pesa na Marekani kwa kutumia ubabe, kwa pamoja zinaudhihaki mfumo wa kimataifa."
-
Watu zaidi ya 155,000 walioambukizwa COVID-19 nchini Iran wapona
Jun 17, 2020 06:20Msemaji wa Wizara ya Afya ya Iran ametangaza kuwa, hadi hivi sasa waathirika 155,00 wa ugonjwa wa COVID-19 au corona nchini Iran wamepona na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka mahospitalini.
-
Kutolewa Saudia katika orodha ya fedheha ya kuua watoto, ni fedheha
Jun 17, 2020 02:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameulaumu vikali Umoja wa Mataifa kwa misimamo yake ya kindumilakuwili katika kadhia ya haki za binadamu na kusema, kitendo cha umoja huo cha kuitoa Saudi Arabia kwenye orodha nyeusi ya wavunjaji wa haki za watoto ni fedheha, kinaudhi na kimewakasirisha wengi.
-
Zarif: IAEA haifai kuwa chombo cha kutumiwa na Marekani kuharibu mapatano ya JCPOA
Jun 16, 2020 22:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki haufai kubadilishwa na kuwa chombo cha Marekani kuharibu mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA).
-
Umoja wa Mataifa wakabidhiwa nyaraka za Wairani 17,000 waliouawa shahidi nchini
Jun 16, 2020 22:13Shirika moja la kutetea haki za binadamu nchini Iran limeukabidhi Umoja wa Mataifa nyaraka kuhusu namna Wairani 17,000 waliovyouawa shahidi katika hujuma za kigaidi nchini.
-
Umoja wa Mataifa wakabidhiwa nyaraka za Wairani 17,000 waliouawa shahidi nchini
Jun 16, 2020 20:46Shirika moja la kutetea haki za binadamu nchini Iran limeukabidhi Umoja wa Mataifa nyaraka kuhusu namna Wairani 17,000 waliovyouawa shahidi katika hujuma za kigaidi nchini.
-
Iran na Russia zapinga misimamo ya upande mmoja katika kutatua masuala ya kimataifa
Jun 16, 2020 10:06Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Russia wamesisitiza udhaura wa kukabiliana na misimamo iliyo kinyume cha sheria na ya upande mmoja katika kuitafutia ufumbuzi migogoro ya kimataifa.
-
Ripoti mpya ya Katibu Mkuu wa UN yafuata nyayo za njama za Marekani dhidi ya Iran
Jun 16, 2020 06:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa ripoti mpya ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa inayodai kuwa, makombora yaliyotumiwa kushambulia taasisi za kusafisha mafuta za kampui ya ARAMCO nchini Saudi Arabia yalitengenezwa Iran inafuata nyayo na kwenda sambamba na njama mpya za Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Rabiei: Iran ina mpango wa nyuklia uliowazi zaidi duniani
Jun 16, 2020 00:31Msemaji wa Serikali ya Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ndio nchi pekee duniani ambayo imeupa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) idhini ya kutembelea vituo vyake vya nyuklia mara nyingi zaidi. Aidha ameongeza kuwa: "Mpango wa nyuklia wa Iran ni wenye uwazi zaidi duniani."
-
Iran: Bodi ya Magavana ya IAEA isithubutu kuchukua hatua isiyo na maana
Jun 15, 2020 10:30Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itatoa jibu mwafaka kwa hatua yoyote hasi na isiyo na maana itakayochukuliwa na Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa ya Nishati ya Atomiki (IAEA) dhidi ya taifa hili, kwa kutegemea madai yasiyo na msingi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.