-
Watu zaidi ya 127,000 walioambukizwa COVID-19 nchini Iran wapona
Jun 04, 2020 21:55Wizara ya Afya ya Iran imetangaza kuwa, hadi hivi sasa waathirika 127,485 wa ugonjwa wa COVID-19 au corona nchini Iran wamepona na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka mahospitalini.
-
Rais Rouhani: Iran inalaani vikali jinai zinazofanya na serikali ya Marekani dhidi ya wapinzani wa ubaguzi
Jun 04, 2020 08:17Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran inalaani jinai zinazofanywa na serikali ya Marekani na ukandamizaji wake dhidi ya wapinzani wa ubaguzi wa rangi nchini humo.
-
Kiongozi Muadhamu atilia mkazo udharura wa kujifunza fikra za hayati Imam Khomeini
Jun 04, 2020 03:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema jana alihutubia taifa kwa njia ya televisheni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyoaga dunia hayati Imam Ruhullah Khomeini, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akisema kuwa kutaka mabadiliko, kuwa na ari ya kufanya mabadiliko na kuyafanya mageuzi ni miongoni mwa sifa muhimu za hayati Imam Khomeini.
-
Waliopona COVID-19 nchini Iran wapindukia 125,000
Jun 03, 2020 06:50Wizara ya Afya, Matibabu na Mafunzo ya Tiba ya Iran imetangaza kuwa, hadi hivi sasa waathirika 125,206 wa ugonjwa wa COVID-19 au corona humu nchini Iran wamepona na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka mahospitalini.
-
Imam Khomeini na uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na nchi nyingine
Jun 03, 2020 02:12Licha ya Imam Khomeini (MA) kusisitiza juu ya mapambano na kusimama imara dhidi ya madola ya kibeberu na kiistikbari, lakini pia alikuwa na msimamo wa wazi kifikra juu ya kuwa na uhusiano mzuri na nchi nyingine za dunia.
-
Kiongozi Muadhamu: Marekani imefedheheka duniani kutokana na mienendo yake
Jun 03, 2020 06:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema yanayojiri siku hizi Marekani yameweka wazi ukweli uliokuwa umefichwa nchini humo na kuongeza kuwa: "Wamarekani wamefedheheka duniani kutokana na mienendo yao."
-
Wabunge wa Iran walaani 'ugaidi wa kibaguzi' wa polisi ya Marekani
Jun 02, 2020 23:25Wabunge 240 wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wametoa taarifa ya kulaani mwenendo wa polisi ya Marekani wa kutumia ugaidi wa kibaguzi dhidi ya raia wa nchi hiyo.
-
Rais Rouhani: Nchi za Ulaya zisiishie kulaani tu, zichukue hatua za kivitendo
Jun 02, 2020 07:01Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nchi za Ulaya zisiishie kulaani tu hatua zilizo kinyume cha sheria za Marekani, bali zitekeleze kivitendo majukumu yao.
-
Raisi: Mahakama za kimataifa ziwafuatilie na kuwapandisha kizimbani viongozi watenda jinai wa Marekani
Jun 02, 2020 07:00Mkuu wa Chombo cha Mahakama nchini Iran amesema kuwa, viongozi wa Marekani ni watuhumiwa wa kuvunja haki za kimsingi kabisa za binadamu na inabidi wapandishwe kizimbani kwenye mahakama za kimataifa.
-
Iran: Viashiria vya kusambaratika Marekani vinazidi kudhihiri
Jun 02, 2020 03:46Ali Shamkhani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ameandika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter kuhusiana na maandamano yanayoendelea nchini Marekani kufuatia kuuawa kinyama na polisi mzungu Mmarekani mwenye asili ya Afrika na pia kitendo cha Trump kujificha chini ya White House kwa kuogopa hasira ya waandamanaji.